Labda ni mlokole anataka kuiokoa dunia yote.Yani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....
Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....
CC; prof W. AnangisyeView attachment 1249841
Mbona hii sera UDSM naiona toka Mwaka 2013, uje ulaumu leo. Na hiyo picha ipo karibu kika chuoYani ukimpa mwalimu madaraka anakuja kutibua kila kitu, nimeona sasa hivi wameleta dressing code udsm, hivi chuo cha kimataifa unaletaje mambo kama hayo? Sio tu watanzania wanaosoma hapo, kuna wazungu na watu wa nchi za mbali wengi tu kipindi nimesoma hapo nilikuwa nawaona, na sio kwamba eti kuna watu wanavaa vibaya hapo chuo! La hasha, nimekaa pale miaka mitatu na sijawahi kukuta mtu kavaa vibaya kiasi cha kumkwaza mtu mwingine, yani usikae ukampa mtu wa education madaraka....
Wazo langu, waangalie tena hili swala, huu ndio mwanzo wa kukimbiza wageni kutoka mbali badala wafocus mambo muhimu, wanadili na vitu visivyo na uzito....
CC; prof W. AnangisyeView attachment 1249841
Wanaume wanazuiliwa jeans???????? Seriously??anazingua, hii karne ya 21 na watu wanaosoma hapo wanajielewa, sasa ndio nini wanaume kukatazwa kuvaa jeans
mzee hiyo ipo vyuo vya kawaida sijui tumaini college, etc , udsm ni chuo cha kimataifa hatujasoma tu watanzania, wapo watu wanatoka marekani af uje uwaambie ushubwada wa kutokuvaa kaptula au jeans kwani seminary hiyo? au hizo kaptula na jeans zinahusika vipi na kuelewa vitu vinavyofunzwa? Dressing Code is irrelevant to academic perfomance/excellency wapambanie vitu vyenye influence kwenye ufauluInawezekana hujatembea vyuo vingi,hiyo sera ipo almost vyuo Vyote sasa sijui hao VC nao na ni Waalimu Ama la.
Naomba waongeze na Marufuku wanafunzi kuvaa earphones kila saa,vitu vingine ni ulimbukeni na ushamba tu Wala sio sense ya civilization.
kwahiyo mapadre wakiwa wanatembea mjini wakaona wasichana wamevaa kwa kuwavutia , kwani nao huenda kutoboa godoro huko parokiani?Ngoja afanye hivyo! Hali ilikuwa mbaya sana, vijana wanaotoka mikoani wameharibu sana magodoro kule mabibo kwa kadhia zilizokuwa zinazuilika.
ipindi chetu hakukuwa na hizo mishe mkuu hii imekaziwa alivoingia anangisye, jamaa kakaza kila sehemu kwanza avoingia tu wakapiga audit moja matata watu walifukuzwa chuo walikua wanafoji risiti za ada, accountants wa baadhi ya college wenyewe waliliwa vichwa, kweli hatariMbona ilianza miaka Kama minne imepita,labda Kama walilegeza na Sasa wanakazia