Vibosile + vigogo vinavyoharibu mabinti

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
baada ya kukaa na kupata malalamiko + kujionea mwenyewe uchafu unaofanywa na mabosi, watu wakubwa, waalimu wa vyuoni katika kuwanyonya mabinti zetu kingono kwamba ni lazima wafanye nao mapenzi la sivyo kazi hawapati, au wanawafukuza kazi au wanawabania katika nyanja mbali mbali nimechoshwa na hii tabia so sisi kama wakachaaa tutaanzisha mpango kabambe wa kupambana na hawa watu kwa support ya victims wenyewe ambao wamepata haya matatizo tutawalipua tunaweza kuwalipua hapa hapa jamii forum na jamii forum wakinibania nitawalipua kwa special blog ambayop itaandaliwa kwa ajili yenu
so ninyi watu wa

maofisini
benki
ngo's
makampuni ya simu
vituo vya redio
studio za muziki
makampuni ya fashion na urembo
wafanyabiashara wa maduka
waalimu vyuo vikuu

jaribuni kurekebisha tabia zenu la sivyo wakachaaa watawalipua tena sana na too soon
 
Mkimnyooshea kidole kimoja mwenzio utambue vidole vitatu vinakutazama wewe. :focus:
 
Tahadhari mbili dogo.
Moja ni kuwa ukimuanika mtu anaweza kukushtaki, jee huyo binti atayekupa taarifa hiyo atakuwa tayari kusimama na ushahidi wake?

Pili kuna vibinti vijanja huwa vinajipitishapitisha kwa walimu kwa lengo la 'kuonewa huruma' apewe mtihani. Mwalimu akiweka ngumu anaweza kuchafuliwa jina bure, jee uko tayari kupokea dhambi hizo?
 
Tangazo hili limewajia kwa hisani ya watu wakachaaa.

Ukimwi umeshindwa itakuwa wakachaaa.
 
kama wamekutafunia dadako au demu wako ndo unataka kuleta hasira zako humu?
Kama wewe mpenda haki kwa nini usiwashauri hao wahanga waende mahakamani??

Changanya na za kingwendu.
 
Tahadhari mbili dogo.
Moja ni kuwa ukimuanika mtu anaweza kukushtaki, jee huyo binti atayekupa taarifa hiyo atakuwa tayari kusimama na ushahidi wake?

Pili kuna vibinti vijanja huwa vinajipitishapitisha kwa walimu kwa lengo la 'kuonewa huruma' apewe mtihani. Mwalimu akiweka ngumu anaweza kuchafuliwa jina bure, jee uko tayari kupokea dhambi hizo?

tahadhari ya pili inanigusa,
asante SANA!
 
njaa ndo kinakuwa kigezo cha kuwakandamiza mabinti wa watu usipotoa kitu imekula kwako kweli hii ndio tanzania tunayoitaka..

Hasa ww ulitaka Tanzania ipi,** Ukitaka kula kidogo, lazima ukubali na ww kuliwa, hasa ww unataka kula bila kuliwa?
 
baada ya kukaa na kupata malalamiko + kujionea mwenyewe uchafu unaofanywa na mabosi, watu wakubwa, waalimu wa vyuoni katika kuwanyonya mabinti zetu kingono kwamba ni lazima wafanye nao mapenzi la sivyo kazi hawapati, au wanawafukuza kazi au wanawabania katika nyanja mbali mbali nimechoshwa na hii tabia so sisi kama wakachaaa tutaanzisha mpango kabambe wa kupambana na hawa watu kwa support ya victims wenyewe ambao wamepata haya matatizo tutawalipua tunaweza kuwalipua hapa hapa jamii forum na jamii forum wakinibania nitawalipua kwa special blog ambayop itaandaliwa kwa ajili yenu
so ninyi watu wa

maofisini
benki
ngo's
makampuni ya simu
vituo vya redio
studio za muziki
makampuni ya fashion na urembo
wafanyabiashara wa maduka
waalimu vyuo vikuu

jaribuni kurekebisha tabia zenu la sivyo wakachaaa watawalipua tena sana na too soon

Good idea ila msije mkawa kama wale jamaa wa Jukwaa la Katiba,walipiga domo kuhusu maandamano walivyoitwa pembeni na kupewa mlungula sasa wapo kimyaaa kama maji ya mtungini.Ni kweli wasichana wanapata taabu sana na hasa kwenye hawa wanaendesha mashindano kama ya u-miss,vyuo vikuu nako ni uchafu mtupu,na kwenye kazi hasa kwenye kupanda cheo au kukwepa kuamishwa kutoka eneo moja kwenda lingine hasa pale eneo unaloamishiwa likiwa sio zuri...otherwise good movement!!
 
Vita nzuri hii lakini angalia usiweke maslahi binafsi mbele itakula kwako
 
tatizo lao hawa mabinti nao ni tamaa ya maisha mazuri ya haraka,utakuta demu ana maisha ya kawaida ya kumwezesha kupata mahitaji yake muhimu au hadi na vitz ya kutembelea anayo na ana mume au boyfriend lakini anajipitisha kwa boss ili mradi apate prootion au annue mac x eti vitz imemchosha au anaona aibu kwa mashoga zake.
i have mixed feelings kwenye huu mradi wako unaotaka kuanzisha
 
Back
Top Bottom