Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,778
- 239,453
Wengi wanaamini kwamba hii itakuwa mechi ngumu , lakini bila kumung'unya maneno kiukweli hii ni game ya one way traffic.
Kwa namna yoyote ile waingereza japo tunawapenda ( nadhani kwa vile Tanganyika lilikuwa koloni lake ) hawaiwezi russia kwa vyovyote vile .
Hakuna haja ya uchambuzi wa kina .
Poleni mashabiki wa ENGLAND , nchi yenu imebarikiwa sana kwenye RUGBY lakini siyo soka .