Mende mdudu
Senior Member
- Feb 13, 2023
- 197
- 405
Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto.
Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda , malezi ya ukuaji wa mtoto haulekebishwi kwa kupigwa watu wenye hela wanaanda kesho ya watoto wao kwa kuwaingiza kwenye biashara zao,
Ukiona mtu yoyote anafikia atua ya kutumia fimbo kumuelimisha mtu anaonyesha ufinywu wa ufahamu wake,.
Ewe kapuku tafuta ela uache kuona fimbo ndo njia nzuri ya kumuelemisha mtoto.
Katika picha ni mtoto wa tajiri duniani akiwa ikulu ya white house anaandaliwa mifumo akiwa mdogo hajui bakora imefananaje.