Vibe na weekend nambie leo una vibe wapi?

Chupa 1 ndio bata nilijua umechafua meza na warembo km 100
Bata n Bata ata akiwa kifarangaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alafu watoto mm wa nn mkuu,na uanjua nipo apa Toka mda gan πŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Chupa 1 ndio bata nilijua umechafua meza na warembo km 100
Hata shisha hamna huyu hajui hata starehe bado sana kwenye haya mambo!, na hapo ukute imeshchukua hiyo bia moja..🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…