Vibe na weekend nambie leo una vibe wapi?

Hata shisha hamna huyu hajui hata starehe bado sana kwenye haya mambo!, na hapo ukute imeshchukua hiyo bia moja..🤣
Kachupa kamoja meza kisturi kigoda upo bar au klabu cha pombe local, warembo wanabidi wakuzunguke kiasi kwamba DC akipiga simu unamjibu km unaongea house boy mkata majani nyumbani kwako
 
sasa unatokaje bar unadrive..? kwanza unatakiwa ufatwe we wa wapi wewe...? umekaa kishamba sana..😂
Mamaeeeee 😂😂😂😂🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
Kachupa kamoja meza kisturi kigoda upo bar au klabu cha pombe local, warembo wanabidi wakuzunguke kiasi kwamba DC akipiga simu unamjibu km unaongea house boy mkata majani nyumbani kwako
Kumbavuuu Sina ulimbuken huo alafu mm sio mtu wa totozi kivile
 
kumbe we ni lambalamba tu si mnywaji!.. tupo tunasahau mpk njia yakwenda nyumbani tunaingia kwa jirani na zogo kama lote!..😂
Acha mkuu Kuna siku nililewa kiasi kwamba nipo Lodi nikakutana na patroo ya police ukatokea mtiti,nikampeleka police police 😂😂😂😂 unajua nn kilifata sitasahau ile
 
Unagombana na wana hata ulewe vipi bora ukasahau nyumbani lakini sio hao na kunapotokea hatari ujue kukimbia baadae watasimuliana wao uliwezaje kukimbia wakati kutembea ulikuwa huwezi...🤣
 
Acha mkuu Sasa mm ndo nikajiona police yule n Raia wewe acha tu ngoja ninyamaze🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
 
Safari Moja huanzisha safar ingine 😂😂🔥🔥
images (4).jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom