Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 #1 Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
Habarini ndugu wana JamiiForums, Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi? Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 Jan 16, 2023 #2 Hakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndio unaiacha kwako
Hakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndio unaiacha kwako
Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 Thread starter #3 Sir Midabwada said: Hakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndo unaiacha kwako Click to expand... Aisee Mr, hamna kiwanda kingine wanalipa maslahi mazuri kidogo zaidi na hapo kwa siku
Sir Midabwada said: Hakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndo unaiacha kwako Click to expand... Aisee Mr, hamna kiwanda kingine wanalipa maslahi mazuri kidogo zaidi na hapo kwa siku
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,589 Jan 16, 2023 #4 Ndiyo...
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,138 Reaction score 33,525 Jan 16, 2023 #5 Tunyamaze yaliyopo viwandani kwa hawa wanaojiita matajiri na kujifanya wanapenda dini na kutoa misaada bora kubaki kimya. Maana uwezi kulipa ujira mzuri kila mtu. Viwanda au kampuni yoyote kubwa idadi wanayo lipwa vizuri iwezi kufika hata 100. Tena Azam ndio kabisa
Tunyamaze yaliyopo viwandani kwa hawa wanaojiita matajiri na kujifanya wanapenda dini na kutoa misaada bora kubaki kimya. Maana uwezi kulipa ujira mzuri kila mtu. Viwanda au kampuni yoyote kubwa idadi wanayo lipwa vizuri iwezi kufika hata 100. Tena Azam ndio kabisa
Capslock JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 3,098 Reaction score 4,831 Jan 16, 2023 #6 Sir Midabwada said: Hakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndo unaiacha kwako Click to expand... Si bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota angani
Sir Midabwada said: Hakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndo unaiacha kwako Click to expand... Si bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota angani
Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 Thread starter #7 Capslock said: Si bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota angani Click to expand... Nakubaliana na wewe asilimia 💯
Capslock said: Si bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota angani Click to expand... Nakubaliana na wewe asilimia 💯
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 Jan 16, 2023 #8 Sidee01 said: aisee Mr, hamna kiwanda kingine wanalipa maslaahi mazuri kidogo zaidi na hapo kwa siku Click to expand... Labda ukaangalie darlin kule Mbagala Kongowe.. Wao wa nalipa Kwa wiki
Sidee01 said: aisee Mr, hamna kiwanda kingine wanalipa maslaahi mazuri kidogo zaidi na hapo kwa siku Click to expand... Labda ukaangalie darlin kule Mbagala Kongowe.. Wao wa nalipa Kwa wiki
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 Jan 16, 2023 #9 Au pambana upate bandari wanalipa elf 7
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 Jan 16, 2023 #10 Capslock said: Si bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota angani Click to expand... Huijui kazi ya pale Kwa malipo ya elf 4. Huwezi kurudi tena maisha yako yote
Capslock said: Si bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota angani Click to expand... Huijui kazi ya pale Kwa malipo ya elf 4. Huwezi kurudi tena maisha yako yote
Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 Thread starter #11 Sir Midabwada said: Au pambana upate bandari wanalipa elf 7 Click to expand... Nafuta wanayolipa kwa siku ili nipate na nauli kwenye huo ujira maana nipo BUNJU
Sir Midabwada said: Au pambana upate bandari wanalipa elf 7 Click to expand... Nafuta wanayolipa kwa siku ili nipate na nauli kwenye huo ujira maana nipo BUNJU
Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 Thread starter #12 Sir Midabwada said: Labda ukaangalie darlin kule jongowe.. Wao wa nalipa Kwa wiki Click to expand... Mr, jongowe ipo maeneo gani
Sir Midabwada said: Labda ukaangalie darlin kule jongowe.. Wao wa nalipa Kwa wiki Click to expand... Mr, jongowe ipo maeneo gani
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,561 Reaction score 14,627 Jan 16, 2023 #13 Kuna rafiki yangu anafanya kazi kaajiriwa pale ana mkataba ni electrical engineer diploma wanamlipa hela mbuzi kila siku anatafuta kazi aondoke pale lakini hajafanikiwa bado na ana familia
Kuna rafiki yangu anafanya kazi kaajiriwa pale ana mkataba ni electrical engineer diploma wanamlipa hela mbuzi kila siku anatafuta kazi aondoke pale lakini hajafanikiwa bado na ana familia
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,293 Reaction score 25,771 Jan 16, 2023 #14 Sidee01 said: Mr, jongowe ipo maeneo gani Click to expand... Mbagala hiyo. Utoke Bunju hadi Mbagala? Kwanini usiingie katika uwinga pale kariakoo?
Sidee01 said: Mr, jongowe ipo maeneo gani Click to expand... Mbagala hiyo. Utoke Bunju hadi Mbagala? Kwanini usiingie katika uwinga pale kariakoo?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,330 Reaction score 88,488 Jan 16, 2023 #15 Viwandani wananyonya sana wafanyakazi. Malipo ni kiduchu sana.
Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 Thread starter #16 Sir Midabwada said: Mbagala hiyo. Utoke bunju hadi mbagala? Kwa Nn usiingie katika uwinga pale kariakoo? Click to expand... Hapo si lazima uwe na mtu unayemjua Kariakoo ili ukifika akupe ramani jinsi mishe zinavyooenda
Sir Midabwada said: Mbagala hiyo. Utoke bunju hadi mbagala? Kwa Nn usiingie katika uwinga pale kariakoo? Click to expand... Hapo si lazima uwe na mtu unayemjua Kariakoo ili ukifika akupe ramani jinsi mishe zinavyooenda
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,586 Reaction score 60,777 Jan 16, 2023 #17 Mkuu fanya tu, maana viwanda vyote hivyo (vya kihindi) huzidi 4k kwa siku.
Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 Thread starter #18 dronedrake said: mkuu fanya tu, maana viwanda vyote hivyo (vya kihindi) huzidi 4k kwa siku Click to expand... Kabisa mkuu
dronedrake said: mkuu fanya tu, maana viwanda vyote hivyo (vya kihindi) huzidi 4k kwa siku Click to expand... Kabisa mkuu
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,586 Reaction score 60,777 Jan 16, 2023 #19 Sidee01 said: Kabisa mkuu Click to expand... Kuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usiku
Sidee01 said: Kabisa mkuu Click to expand... Kuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usiku
Sidee01 Member Joined Aug 28, 2022 Posts 30 Reaction score 167 Jan 16, 2023 Thread starter #20 dronedrake said: kuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usiku Click to expand... Kipawa ipo wapi mkuu
dronedrake said: kuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usiku Click to expand... Kipawa ipo wapi mkuu