Vibaraka wa mabeberu wanaungana!

Umetumwa na hao vibaraka wa Dj? Ambao mostly hawatumiimii akili bali ugolo? Ina maana mimi niwe na takwimu zangu kama nani? Waziri wa afya au waziri mkuu huwa mumsikii? Hizo habari za dawa za kutibu Corona umetoa wapi? Au ndio lile kundi la zero brain ila kujifanya unadakia mambo?
 
Ndio maana unatakiwa uelewe dhana nzima ya imperialism ni kitu gani? Kama mtu anakupa mkopo au msaada bila condition hamna tatizo.Ila kama msaada au mkopo unataka mruhusu ushoga au msivunje mkataba mbovu sababu ya MIGA. Hapo ndipo haikubariki.
Naelewa. Lakin na sis tusitumie kama kiki ya kisiasa ilihali hatujaweza kusimama wenyewe 100%
 

Tatizo ukitumia jina MABEBERU wengi hapa wanajua umeshidwa hoja. Hakuna anayejua MABEBERU ni nani? Ukiweza kutoa maana yake watu wangeweza kukusikiliza maana watakuita na wewe MBUZI
 
Inavyoelekea CCM kuna wajinga wengi sana.Wazungu wakiipatia Tanzania misaada wanakuwa wafadhili na wakiinyima wanakuwa mabeberu!
Karib tanzania. Na hizi ndio siasa za sasa hiv.ukiwabana wanapotea.
 
Mabeberu ni mafala Sana kila siku wananangwa wanatukanwa na wasio na shukrani badala ya kusitisha misaada,wao wanatoa huku wanatukanwa.
 
Pumbav.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…