Ña Wale machinga wa kariakoo unasemaje mkuu? Ña wale tukawatimue maana hawalipi kodi piakwa hiyo walikataa kukaa ndani wakaweka vibanda nnje ya jengo la biashara ili watu wasiingie ndani wakija waishie hapo nnje, wao hawalipi kodi huku wanauza, walio ndani wanalipakodi lakini hawauzi.
bila shaka ni dar es salam mkuuNdio wapi huko? Lindi, Kigoma, Singida, Katavi au wapi????!!!
Humo ndani ingekuwa wanaingia bure nadhani wangekuwa wa kwanza kujaa,shida ni kwamba maeneo ya ndani wanasiasa wamejitwalia halafu wanawatoza kodi kubwa wamachinga,,na hili suala halijawahi kupatiwa ufumbuziNaunga mkono hoja waingie ndani
Iundwe kamati ichunguze jambo hilo na ikiwezekana mikataba isainiwe upya.Humo ndani ingekuwa wanaingia bure nadhani wangekuwa wa kwanza kujaa,shida ni kwamba maeneo ya ndani wanasiasa wamejitwalia halafu wanawatoza kodi kubwa wamachinga,,na hili suala halijawahi kupatiwa ufumbuzi
Ngoja kwanza, hapa tunawazungumzia hawa walio nje ya jengo maalum kwa ajili yao, pia sijasema kuwa naunga mkono waokufukuzwa, kuna mengi sana yakuangalia, je ni kwanini hawataki kuuza bidhaa ndani, kuna kipindi walikuwa wanalalamikia utawala wa jengo, je ishu yao isha kuwa solved.Ña Wale machinga wa kariakoo unasemaje mkuu? Ña wale tukawatimue maana hawalipi kodi pia