figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,560
- 62,126
kama logic ni hivo then wanastahili kuvunjiwa!kwa hiyo walikataa kukaa ndani wakaweka vibanda nnje ya jengo la biashara ili watu wasiingie ndani wakija waishie hapo nnje, wao hawalipi kodi huku wanauza, walio ndani wanalipakodi lakini hawauzi.
Sio kila kitu CCM! Hata ingekuwa serikali ya chama kingine kuna mambo mengine isingeyavumilia kabisa.ccm mbele kwa mbele
Bei ya pango ipo juu..Sasa wanajengaje vibanda nje ya jengo la biashara wakati jengo ndani lina nafasi ya kuwa accommodate?
Ndani na biashara hamnaLakini mbona ni rahisi tu, si ilikuwa ni swala la kuingia ndani tu. Au kulikuwa na mengine zaidi?
jingo lina masharti makubwa na ni gharama ukilinganisha na uhalisia wa biashara. wale jamaaa wamekua mkombozi kwa mtanzania mwenye kipato cha chini. nimefikiria zaidi ya kile ninachokijuaSasa wanajengaje vibanda nje ya jengo la biashara wakati jengo ndani lina nafasi ya kuwa accommodate?
Watanzania tumekuwa tukisingizia sana vyama hata kwenye jambo lililo wazi katika kuvuruga taratibu. Kwanza vile vibanda havikuwepo kwenye plan, na vilikuwa kero sana hata kama walikuwa wanalipa kodi.Kidumu chama cha mapinduzi