Wanaijeria wanatuchafua sana waafrika, niliwahi kufukuzwa dukani nchi fulani wakinituhumu kuwa ni mnaijeria, hawakutaka kabisa kuhudumia mnaijeria.
Nilijisikia vibaya lakini ikanibidi niwe mpole, sijui yule mwenye duka alipatwa na maswahiba gani mikononi mwa hao binadamu.