unatania eh!?
Cha msingi mkuu Mentor sio kujua vinafanana na vya nani bali kama kuna significance yoyote juu ya design na rangi
Una nini tena? Umekuvutia eeeeeeh. Ukitaka kwenda mabwepande ya USA chezea hapo.Mguu wa michelle Obama
Mkuu Cynic ile kanzu sio unfashionable kama unavyojua wewe.Lile ni vazi rasmi la kikanisa(Kanisa Katoliki) tena mahususi kwa papa tu.Zaidi ya yote lina mashono.
Halafu leo Pope kavaa suti kapendeza ( .. ameachana na ile unfashionable kanzu/joho)
Na mdada wa kuvitunza kaajiriwa
Kwamba kiatu ni chekundu, hio ni jezi rasmi ya pope! Red shoes is an official uniform of the pope! Kama una mashaka Pekua kurasa za VaticanKwa wale wadau na wajuzi wa hii Taasisi ya Vatican, hiki kiatu kina significance yoyote au ni mtoko tu wa kawaida?
Nijuzeni
SourceView attachment 84831