Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,097 May 30, 2016 #3 Duh! Uvaaji wake lazima uanzie kwenye paja ndio utatembea kwa kasi
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Aug 13, 2015 8,545 10,279 May 31, 2016 #4 Labda unavaa kama truck suit kisha unatambaa kama kambale.
MWANDENDEULE JF-Expert Member May 24, 2015 3,996 7,088 May 31, 2016 #5 Hii mbona kama soksi za wahindi, kitu inavaliwa kama soksi na chupi vile vile.