Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
h haaaaaaaaa, usitie shaka rafiki, taratiiiibu utaelewa.Haya bana rafiki FP maana unaweza kuvunja shingo na kumkata mtu jicho la "we vipi?" kumbe yuko katika lugha ya kule kulikovunjika mpini kukabaki jembe.... nyumbi hii na bombi hii lol!
wewe rafiki na hii miziki yako........Chizika rafiki kwa raha zako/zenu mapenzi yenyewe ya siku hizi unayaona macho watu juu juu kama vyura lol! Weye umebahatika kuwa na mwenzio mnayependana kiasi hicho basi jirusheni na penzi lenu moto moto kwa raha zenu.
h haaaaaaaaa, usitie shaka rafiki, taratiiiibu utaelewa.
mimi najitolea kukufundisha lugha kabla hujaenda ili usije ukaachwa kwenye mataa.........
nitasaidiana na mlongo wangu snowhite, ila jiangalie unaweza nyweshwa sumu, lol!
wewe rafiki na hii miziki yako........
asante sana, ngoja niendelee kuchizika kwa raha zangu, lol!
ha ha haaaaaa, zabwina rafiki, lol!Za magono rafiki? hahahahah lol! :behindsofa:...NANI KANUNA!?
asante sana rafiki, ndo maana umekuwa rafiki yangu maana unanitia moyo sana, shukrani sana na endelea kunitia moyo hivyo hivyo..... asante sanaShikamana rafiki wengi wanatafuta penzi lililokolea kama hili la kwenu wanaishia kukutana na vimeo, ni nadra sana katika Ulimwengu wa leo kuyapata mapenzi matamu kiasi hicho.
Viatu vya kisigino kirefu au mchuchumio vimekuwa ni maarufu sana siku hizi, karibu kila mwanamke anavutiwa na aina hiyo ya viatu, awe ni mwembamba au mnene, mrefu au mfupi wote wanavutiwa na viatu hivyo. Lakini wale wanawake wafupi ndio zaidi, hupenda aina hiyo ya viatu ili kuonekana ni warefu, ufupi umekuwa kero kwao, ajabu eh !
Lakini kwa bahati mbaya uvaaji wa viatu vya mchuchumio huwa unawasumbua sana wanawake wengi, sio tu kuwasumbua, bali hutokea kutembea vibaya kiasi cha kuwafanya kuwa kichekesho na hata ule uzuri walioutarajia unakuwa haupo. Kwa hiyo mwanamke anakuwa kituko badala ya kupendeza.
Tafiti mbalimbali zimebainisha kwamba, viatu hivi vimewahi kuwaumiza sana wavaaji na hata kuwauwa pia. Pamoja na kuumia au kufa, kuna kuingia katika aibu kwa kushindwa kutembea vizuri na kugeuka kituko.
Inashauriwa kwamba ni vyema wanawake wanaopenda kuvaa viatu hivyo wafanye mazoezi ndani kabla hawajaanza kuvaa viatu hivyo vya mchuchumio hadharani. Kwa kufanya mazoezi kutawaepusha na ajali au fedheha watakapokuwa wanatembea barabarani .
Ujumbe huu uwafikie wafuatao:
cacico, gfsonwin, snowhite, lara 1, Lisa, Ciello, charminglady, nivea, FirstLady, sweetlady, AshaDii, King'asti, @FP, Preta, marejesho, Madame B, na wanyange wengine watumiao aina hiyo ya viatu..............
Mtambuzi,
Kiatu hufanya nguo uliyovaa ishuke thamani ama ionekane ya thamani zaidi. Na kiatu pia huchukuliwa kawaida na watu wengi but viatu iwe kwa mwanamke ama mwanaume huongea lugha yake ya kipekee kabisa. Huwezi vaa viatu virefu kila mahala, ila bana mahala ambapo kiatu kirefu kinatakiwa ni kujikaza kwenda mbele but unakufa navyo hadi huko unakoenda kieleweke. Hiyo picha umeweka hapo, pamoja na uzuri wote na figure iliyo Perfect, kiatu kimecheza nafasi ya yeye kuwa more hot..
Mahala kama mtoko mkubwa wa usiku, Mkutano hasa hii ya Co-operate world, na sherehe mbali mbali hasa hizi za Cocktail ni lazima utokelezee na kiatu kirefu. Umuhimu huu ndio hasa unaeleza why akina dada/mama siku hizi wanatembea na viatu pair mbili, flat (sandals) na heels, akitoka tu nje ya mahala husika anaweka mbadala. Kiatu kirefu makes akina dada aonekane sexy and extra hot pia hata kuwa upo sophisticated Siku moja nikipata nafasi nitatoa viatu vya kike na kiume vya aina mbali mbali hutoa ujumbe gani kuhsu mhusika... Lol.
ha haaaaaa, sawa mlongo wangunanuaje tean wakati naanza kuandaa lijamanda mie!
asante sana rafiki, ndo maana umekuwa rafiki yangu maana unanitia moyo sana, shukrani sana na endelea kunitia moyo hivyo hivyo..... asante sana
he heeeeee, asante sana rafiki....Rafiki FP in pursuit of greatest love of all, but please remember not to go crazy eeh! NANI KANUNA!? :majani7::majani7::majani7: