Viatu vya Kiume vinauzwa

Cjui huu usanii utaisha lini, utasikia sijui kutoka usa, kutoka uk wakati ukweli ni kwamba vitu vyote vinavyouzwa us na uk ni kutoka china.
True kabisa majority ya viatu vya USA vinatoka china lakini American manufacture Chinese labor farce. Quality na standard ni za American market.

Kaka wewe Mwenyewe unajua kiatu cha mtumbani ndio kinasifika why? Mtumba umetoka state au UK. Maana quality is high. Sasa hapa nakupa sio mtumba but new kabisa. Wewe ndio mvaaji wa kwanza.
 
Hahaaa honestly siku notice nchi ipi vinatoka hata South Africa wanatengeneza pia kama hivi tena cheaper cc King'asti

Hukuona kichwa cha mada kwenye mabano kinasema (Brand New from USA)

But I'll cut you slack though coz I've never seen you throw shade at anyone who lives abroad.
 
Hukuona kichwa cha mada kwenye mabano kina (Brand New from USA)

But I'll cut you slack though coz I've never seen you throw shade at anyone who lives abroad.

Nina ndugu wengi huko from Detroit to Atlanta to Houston....actually nguo nyingi nazovaa naletewa from there..sijawahi nunua lap top TZ...zote naletewa from USA....nna ndugu mmoja tunapanga kununua a franchisee moja huko tupige pesa...so soon ntakuwa nakuja kuja ku collect my profit...uiona mtu anaponda ujue hajaelewa opportunities zilizopo...huko......bongo hata tax returns ni ndoto still....
 

See, you get it. You really do!
 
Mkuu hizi ngwende zimekaa vema sana ila sasa hiyo bei naona haina urafiki na uhalisia wa mtanzania wa kati.
Watu wanapenda vitu poa ila bei nayo inajalisha sana.
Luku vere basi walau kidogo mkuu.
 

Usisahau aka yangi ingine ni 'mtakuja primary' muulize Kaunga.....
 
Last edited by a moderator:

Nitaje tu usihofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…