Viatu vya Kiume vinauzwa

mbona mitaa ya ubungo jioni viatu vizuri tu kwa 25000 nyie mnaonunua hivyo vya laki2 ndio matajiri au!?
Mimi hivyo hata nikipewa bure nauza.
 
mbona mitaa ya ubungo jioni viatu vizuri tu kwa 25000 nyie mnaonunua hivyo vya laki2 ndio matajiri au!?
Mimi hivyo hata nikipewa bure nauza.
safi sana mkuu, hata hao wanaompamba siyo wananunua kweli ni thread updaters' usiwe mgeni JF, Hili ni kundi.
 
halafu hujaniambia yupi ambae hakusumbui sumbui..yupi ambae nimpunguze ...ha haa
Hakuna hata mmoja anayenisumbua. Usipunguze bwana, nitajionaje najua kuchagua usipozengewa na vishori way far younger than me. Ila ndio hivyo wakugharamie.
Umeshaona series ya 'big love'? Kulikuwa na this Mennonite chap ambaye alikuwa na wake 3, sasa kuna kipindi akawa anawacheat wake zake wawili na bi mkubwa. Wanaenda hotel and all that; zamu ya ya bi kati huyo anaenda kwa bimkubwa kushtua ndio anaenda kwa mwenye zamu.
 
 
Wakuu samaanini huku ilikuwa usiku ndio nime amka. Kusema kweli kiatu quality na genuine lather ni gharama kidogo. Naelewa 120 parefu, lakini vizuri jamani sio bei rahisi. Ukinunua kiatu cha mtumbani sawa kitakuwa kimekuaa lakini jee utakaa nacho sawa na kipya?
 
Don't seems like new or special here in town,if you move around Dar you'll find many in shops,wanatoa China.

Mkuu asilimia kubwa ya viatu vinatengenezwa Asia sababu ya labor cost, lakini counterfeit ni tofauti na original. Mchina lazima few moth kimepoteza mvuto. Mimi nina Zoid shoe moja nilinunua 2009 mpaka leo nabadilisha soli tuu
 
 
Wakuu ingia tuu Zappos au Zaza online shoe store tazama bei za Calvin Klein ankle boot, utaona ngoma inaanzia 100+, mimi nakupa same brand, same quality, lakini competitive price. Kingine I guarantee on my product kwamba sio tuu utaonekana gentleman on the room, lakini kitadumu mara dufu.

Kama kuna mshikaji unamjua ana wedding karibuni I have tuxedo shoes, brand kama Hugo Boss, Salvatore Ferragamo na wengine well known designers.
 

nitaitafuta hiyo series hahaa...kumbe ningeweza make money kwa a reality tv tu peke yake...
 
Cjui huu usanii utaisha lini, utasikia sijui kutoka usa, kutoka uk wakati ukweli ni kwamba vitu vyote vinavyouzwa us na uk ni kutoka china.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…