Viatu vipya!

Viatu vipya!

Haaaaaahaaaaaahaaaaaa wewe aaaaaacccchhhaaaaa ujue mi mwenzio utanivunja mbavu banah wakati mwenzio zimekaza kabisa,mi sitaki uje nitakushtaki kwa mamods shauri lako we endela tu.
na kama una macho ya kulegea au blue eyes ndio umekwisha kabisa,na wachungaji koko watatokea kukukemea kumbe mtoto wa watu una tumbo la kuhara.
 
AISEEEE!!!!!! Ndio maana wanawake wa siku hizi hasa wanaopenda kwenda na fashion una kuta ana vigimbi utadhani analima mihogo milimani kumbe maviatu yasiyokua na hata maana lakini anataka nae aonekane yumo na pia watu wamuone mreeefu! weee pimbi utbaki kuwa pimbi tuuuuu!GRRRRRRRRRRRRRRRRRR
 
hizi si ndo hadithi za majini tulizokuwa tunasikia na mavazi yao?
 
Haaaaaahaaaaaahaaaaaa wewe aaaaaacccchhhaaaaa ujue mi mwenzio utanivunja mbavu banah wakati mwenzio zimekaza kabisa,mi sitaki uje nitakushtaki kwa mamods shauri lako we endela tu.
nkwi kwi kwi chezeiya kwato na stori jini weye.
 
Back
Top Bottom