Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Akina dada kaeni tayari kwa hizi "kwato". Nitazimwaga sokoni ivi karibuni!
Umeona, eeeh!daah hizi fasheni hizi kuna kipindi watu watakuwa wanaonekana kama wanyama!
Ile hadithi ya mtu amekutana na jini anamuonyesha kwato sijui hii aina ya viatu kama itakubalika tutakimbiana kwa kudhani tumekutana na jini!Akina dada kaeni tayari kwa hizi "kwato". Nitazimwaga sokoni ivi karibuni!
![]()
Ile hadithi ya mtu amekutana na jini anamuonyesha kwato sijui hii aina ya viatu kama itakubalika tutakimbiana kwa kudhani tumekutana na jini!
Duh hivi hata mchana havifai !Yaani sijui inakuwaje itabidi vivaliwe MCHANA , usiku itakuwa balaa.
hii kitu ukijichanganya na ukapiga na baibui utamwona kila mtu njiani anakuhamaYaani sijui inakuwaje itabidi vivaliwe MCHANA , usiku itakuwa balaa.
hii kitu ukijichanganya na ukapiga na baibui utamwona kila mtu njiani anakuhama
ukianguka watajua jini limezidiwa ujanja watakukimbiajeHaaaaaaahaaaaaaahaaaa neno hilo,basi hapo usiombe ukaanguka hamna wa kukusaidia.
ukianguka watajua jini limezidiwa ujanja watakukimbiaje
hahaha kweli binadamu na teknolojia, wameshindwa pumzi tu.ukianguka watajua jini limezidiwa ujanja watakukimbiaje
hapo ndipo aliposimamia mungu apooo penye pumzihahaha kweli binadamu na teknolojia, wameshindwa pumzi tu.
na kama una macho ya kulegea au blue eyes ndio umekwisha kabisa,na wachungaji koko watatokea kukukemea kumbe mtoto wa watu una tumbo la kuhara.Haaaaaahaaaaahaaaaa mbona wau watatafutana????????