Viatu vipya!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Akina dada kaeni tayari kwa hizi "kwato". Nitazimwaga sokoni ivi karibuni!

 
Kwato za punda....ukishuka hapo kwenye hivyo viatu lazima utafute POP
 
Ohhhh mambo ya majini......akiomba lift usiku unamnyima
 
Akina dada kaeni tayari kwa hizi "kwato". Nitazimwaga sokoni ivi karibuni!

Ile hadithi ya mtu amekutana na jini anamuonyesha kwato sijui hii aina ya viatu kama itakubalika tutakimbiana kwa kudhani tumekutana na jini!
 
hizi fasheni za freemason hizi au shetani, si kwato za mnyama kabisa hizo khaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ile hadithi ya mtu amekutana na jini anamuonyesha kwato sijui hii aina ya viatu kama itakubalika tutakimbiana kwa kudhani tumekutana na jini!

Yaani sijui inakuwaje itabidi vivaliwe MCHANA , usiku itakuwa balaa.


​
 

Attachments

  • image.jpg
    37.7 KB · Views: 108
Daaaaaah mi jamani kwa hapo naomba kama ndio fasheni naomba mi inpite jamani!!!!!!!!!!
 
Haaaaaaahaaaaaaahaaaa neno hilo,basi hapo usiombe ukaanguka hamna wa kukusaidia.
hii kitu ukijichanganya na ukapiga na baibui utamwona kila mtu njiani anakuhama
 
Haaaaaahaaaaahaaaaa mbona wau watatafutana????????
na kama una macho ya kulegea au blue eyes ndio umekwisha kabisa,na wachungaji koko watatokea kukukemea kumbe mtoto wa watu una tumbo la kuhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…