Viatu vikali

Viatu vikali

Natumia kamera ya bei rahis
IMG_20210816_163403_1.jpg
 
sasa unatumia kamera ya bei rahisi alafu unataka kuuza viatu vya bei ya juu ,au unauza clones
We jamaa unapenda sana ligi,mim si mpenz wa simu za bei kali natumia tecno ya bei rahisi na ndio maana camera yake ni ya kawaida lkn haimaanish kuwa siwez kwenda kukopa simu ya bei kali na kulipa kidogo kidogo.
 
Hivi hata bure na fimbo juu sivai,naonaga Wasukuma wakishamaliza kuuza ngo'mbe wao pale Vingunguti unakutana nao pale Congo Str kwa wachagha wakivigombania.
hahah haya twende humu [emoji116]
-102217202-168892405.jpg
 
We jamaa unapenda sana ligi,mim si mpenz wa simu za bei kali natumia tecno ya bei rahisi na ndio maana camera yake ni ya kawaida lkn haimaanish kuwa siwez kwenda kukopa simu ya bei kali na kulipa kidogo kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu
 
Back
Top Bottom