Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
- Thread starter
- #641
Mtumba
Mtumba
60k
Karume mchikichin
Jamaa haupo serious kabisa. Hiki kiatu kwa elfu 20 nakuletea tena kizuri zaidi.Saiz42,50kView attachment 1993032
Dox(maimoria) pale moshi utakikuta kwenye tano bei, tano bei, tano beiJamaa haupo serious kabisa. Hiki kiatu kwa elfu 20 nakuletea tena kizuri zaidi.
Kwa hapa karume kwa hiyo 20k yako unaweza pata hata pea kumi za aina hiyo tatizo kubwa lipo kwenye uchaguaji kadr unavyopunguza vigezo ktk chaguz ndivyo unavyojiongezea wigo wa kupata vingi zaidJamaa haupo serious kabisa. Hiki kiatu kwa elfu 20 nakuletea tena kizuri zaidi.
Km ukizikuta chagua zilizokuwa vzr zisizo na kiswere zenye rangi nzur ukifika nazo karume utapata 15k ktk kila kiat na mim nitakua mmoja kati ya wadau wako na nitakuunganisha na wadau wengine wengi tuDox(maimoria) pale moshi utakikuta kwenye tano bei, tano bei, tano bei