Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
- Thread starter
- #561
Saiz33,25k
Hiki ni size ngapi na unauzaje bwashehe
Unawezaje kutambua quality ya kitu kupitia picha???jamaa izo bei na quality ya bidhaa zinaendana kweli?
Saiz41,80kHiki ni size ngapi na unauzaje bwashehe
Quality ya product za mtumba znaonekana ata kwa macho tu mkuu unaangalia na hali ya hizo productUnawezaje kutambua quality ya kitu kupitia picha???
Upo vzrQuality ya product za mtumba znaonekana ata kwa macho tu mkuu unaangalia na hali ya hizo product