Viatu vikali

Viatu vikali

.
IMG_20210910_164717_7.jpg
 
Chief ukiweka kiatu, weka bei na size yake itakuwa rahisi kwetu mkuu
Nahofia Mello akiona naweka bei atachukulia km nafanya biashara kupitia jukwaa lake bila ya yy kunufaika hii inaweza pelekea nikajikuta nakula ban na ukizingatia nimeshakuwa addicted na hili jukwaa naweza konda kwa sabab ambazo naweza jizuia nazo na ndio maana napendelea kufanya faragha km kuna ulichovutiwa nacho
 
hakuna kitu kama hicho tunafanya biashara humu na tunaweka bei namba ya simu nk
kisichoruhusiwa kuweka link ya website yako
lakini kwa wajasikiamali wadogo wala hakuna katazo hilo
unaweka bei namba simu LOCATION
yaan full details wala si shida
angaalia profile yngu nauz sana lapto nina miaka 5
unchotakiwa kuwa mwaminifu na usiwe janja janja hata km dalali kikubwa kuwa mkweli

hizo habari za kuja faragha sidhani km
utafanya biashara 7bu wenye uwezo wa kuacces PM yako kwa sasa ni 20% ni wenye ID
80% waliobki ni guests USER
na hao wenye ID pia ukishawaambia habari za PM tu wanakula KONA
 
Hii ya kuweka bei na kula ban, ndio naisikia kwako chief, sijawahi kuisikia popote pale.
 
Kuuuuuumbe nilikua sijui kuhusu hilo
 
Hii ya kuweka bei na kula ban, ndio naisikia kwako chief, sijawahi kuisikia popote pale.
Naamin si kila jambo nalijua ipasavyo na ndio maana mengine huwa naongeza kujiham hata km hakuna ulazima wa kujiham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom