Hiyo ni ngozi au kitambaa.?Nimeletwa viatu kutoka USA ila ni vikubwa kwangu so kwa yoyote ambae atapenda kuvinunua anipm
Bei ipoje?Ni ngozi
ndio shida ya kuzoea Facebook...
Hvyo viatu vimetoka USA kweli sio kwamba amevinunua njia wakati anarudi kutoka US
Nadhani hii ni USA ya ArushaHii usa gani mbona namba ya kiatu wameandika ki nchi zingine sio ki usa
Ukishamaliza kuona siku zako akili yako itarudi kuwa sawa,
yes Tayari, vipi na ww umemaliza mp au bado ?
Kwamba 50 alimfanyaje jamaa??? Hiyo itakuwa kabla Trump hajaapishwa??Sasa mkuu wivu huhusu USA? Mi sipati shida huenda umetumiwa na 50cent ulipoenda ulimpa Huduma safi ya mtandao pendwa akaamua akukirimu viatu vya walemavu
Mamamaaaa... mbona naona jamaa ni kama mwanaume?? Asa ataziweka wapi hizo makitu??? Angalia Trump hajalala...Unataka kuanza yako nikupe tampons zilizobaki?