Hawata rudia tena kama tukiamua kutoka mapangoni na kuwaonyesha ukali wa meno yetuCCM na mbinu za kitoto!!
Kuwapangia vituo ni kazi ya vyama vyenyewe. Ndiyo maana vyama vinepewa orodha ya vituo vyote. Na kwa haki ya kawaida inatakiwa kila wakala atoke eneo husika ili pia aweze kupiga kura zote!Asante. Nakumbusha pia suala la wasimamizi kuwapangia mawakala vituo. Chadema viongozi hakikisheni mawakala wanapangwa mapema (sio last minute), maana watafanya figisu ya kumpanga wakala kituo cha mbali ambapo au atachelews au kushindwa kabisa kufika.
Nakala za matokeo ni lazima, busipotoshe.
Yote hayo ni kumlinda bwana bichwa kubwa!Tume bhana View attachment 1605896
Hili tumeshalitolea ufafanuzi ni hivi msimamizi wa uchaguzi Kama hatokuwa na form ya nakala ya matokeo sisi tutachukua ya kwake kwa nguvu yeye akatafute anakokujua.Kuna na ile ya mawakala wa vyama kutopewa nakala ya matokeo. Tume inasema watapewa kama zitakuwepo. Kiufupi yametengenezwa mazingira ya kuhujumu huu uchaguzi.
Kukaa kimya ni nafuu ya mjinga. Ficha ujinga kwa kukaa kimya.Hivi inakuwaje mtu hajui mpangilio wa majina yake halafu unamlaumu msimamizi wakati yeye anasimamia sheria?
Anadanganya wananchi kuwa na yeye yupo kwenye mbio hizi!Sasa hapo anakimbia nini si atulie tu, au ni treadmill hiyo!
Bali mawakala wa ccm hawataguswaKesho ndio siku ya kuapishwa mawakala wa vyama katika uchaguzi mkuu.
Tukumbuke kuwa wakala anaapa halafu anaondoka bila utambulisho wowote, yaani anaondoka kama mimi na wewe!
Eti wakala anaenda mikono mitupu kituo cha kupigia kura eti kujitambulisha kwa msimamizi wa uchaguzi ndio apewe barua ya uwakala?
Msimamizi wa uchaguzi atamtambuaje kama huyu ndiye yule aliyeapishwa?
Kwanza msimamizi wa uchaguzi atamuomba kitambulisho cha uraia au leseni ya udereva au pasi ya kusafiria ili atambue kuwa ni yeye -
1) Holaa, hana! anamkataa, anasema nitajuaje kama ni wewe! Mzozo unaanza! Anatolewa
2) Kama anavyo vitambulisho vitamulikwa kwa darubini kuhakikisha havitofautiana hata kidogo mpangilio wa majina au spelling ya jina. Kama kuna tofauti yoyote msimamizi anamkataa. Mzozo unaanza! Afande anapapasa AK47, wakala anatolewa!
Lengo la haya yote ni kuwachelewesha mawakala kuingia vituoni.
Simu zitapigwa weeee, mawakala wakija kukubalika ni baada ya masaa, hapo ujue kura bandia kibao zitakuwa zimeisha penyezwa.
Yaani CCM ni shiiiidaaaa!
Natabiri mzozo mkubwa mwanzo kabisa mwa kupiga kura.
TAHADHARI:
1). HAKIKISHA MWAKALA WANA VITAMBULISHO
2. HAKIKISHA MAJINA YA MAWAKALA MNAYOPELE KWA TUME YANAFANANA KWA MPANGILIO NA SPELLING KAMA VITAMBULISHO WALIVYONAVYO.
3). MAWAKALA MSIJESAHAU VITAMBULISHO VYENU IWE LESENI, PASPOTI, VYA NIDA, AU CHA KUPIGIA KURA, vinginevyo utatupiliwa mbali
Huo ni mtazamo wangu! We unasemaje!
Hilo linawezekana sanaCCM itapandikiza mawakala fake kwa CHADEMA na ACT
Watakuwa wameshaandaliwa mapema snHilo linawezekana sana
Wewe ndiye ulipaswa kukaa kimya ili kuficha ujinga wako.Kukaa kimya ni nafuu ya mjinga. Ficha ujinga kwa kukaa kimya.
Kwani ukienda na NIDA, LESENI YA UDREVA watakujua kama wewe uliapa jana?Kesho ndio siku ya kuapishwa mawakala wa vyama katika uchaguzi mkuu.