Viapo vya kujiunga Jesuit

Safi sana, wasabato masalia hawaishi kulichafua kanisa la Mungu.
RC NDIO MAMA WA LAANA DUNIANI

ISAYA 24:4-6 Dunia inaomboleza,
inazimia; ulimwengu unadhoofika,
unazimia; watu wakuu wa dunia
wanadhoofika. Tena dunia imetiwa
unajisi kwa watu wanaoikaa; kwa
maana wameziasi sheria,
wameibadili amri, wamelivunja
agano la milele. Ndiyo sababu laana
imeila dunia hii, na hao wanaoikaa
wameonekana kuwa na hatia, ndiyo
sababu watu wanaoikaa dunia
wameteketea, watu waliosalia
wakawa wachache tu.
SABABU YA KWANZA –WAMEZIASI
SHERIA ZA MUNGU
KATIKA KIPENGELE HIKI TUTATUMIA
USHAHIDI WA BIBLIA NA, KITABU
CHA KATEKISIMU NDOGO YA
KANISA KATOLIKI UK 56, ILI
KUDHIBITISHA;
A. Amri kumi katika biblia KUTOKA
20:1-17 na Amri kumi katika
katekisimu ndogo ya kanisa katoliki;
I. AMRI YA KWANZA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:1-3
Mimi ni Bwana, Mungu wako,
niliyekutoa katika nchi ya Misri,
katika nyumba ya utumwa.Usiwe na
miungu mingine ila mimi
AMRI YA KWANZA KATIKA
KATEKISIMU
Ndimi Bwana Mungu wako,
usiabudu miungu wengine
II. AMRI YA PILI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:4-6
Usijifanyie sanamu ya kuchonga,
wala mfano wa kitu cho chote
kilicho juu mbinguni, wala kilicho
chini duniani, wala kilicho majini
chini ya dunia.Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana,
Mungu wako, ni Mungu mwenye
wivu; nawapatiliza wana maovu ya
baba zao, hata kizazi cha tatu na
cha nne cha wanichukiao, nami
nawarehemu maelfu elfu
wanipendao, na kuzishika amri
zangu
AMRI YA PILI KATIKA KATEKISIMU
Usilitaje bure jina la Mungu wako
III. AMRI YA TATU KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:7
Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu
wako, maana Bwana hatamhesabia
kuwa hana hatia mtu alitajaye jina
lake Bure
AMRI YA TATU KATIKA KATEKISIMU
Shika kitakatifu siku ya Mungu
IV. AMRI YA NNE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:8-11
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Siku sita fanya kazi, utende mambo
yako yote; lakini siku ya saba ni
Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku
hiyo usifanye kazi yo yote, wewe,
wala mwana wako, wala binti yako,
wala mtumwa wako, wala mjakazi
wako, wala mnyama wako wa
kufuga, wala mgeni aliye ndani ya
malango yako. Maana, kwa siku sita
Bwana alifanya mbingu, na nchi, na
bahari, na vyote vilivyomo,
akastarehe siku ya saba; kwa hiyo
Bwana akaibarikia siku ya Sabato
akaitakasa.
AMRI YA NNE KATIKA KATEKISIMU
Waheshimu Baba na Mama, upate
miaka mingi na heri Duniani
V. AMRI YA TANO KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:12
Waheshimu baba yako na mama
yako; siku zako zipate kuwa nyingi
katika nchi upewayo na Bwana,
Mungu wako.
AMRI YA TANO KATIKA KATEKISIMU-
Usiue
VI. AMRI YA SITA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:13
Usiue.
AMRI YA SITA KATIKA KATEKISIMU
Usizini
VII. AMRI YA SABA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:14
Usizini
AMRI YA SABA KATIKA KATEKISIMU-
Usiibe
VIII. AMRI YA NANE KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:15
Usiibe
AMRI YA NANE KATIKA KATEKISIMU
Usiseme uongo
IX. AMRI YA TISA KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:16
Usimshuhudie jirani yako uongo
AMRI YA TISA KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mwanamke asiye mke
wako
X. AMRI YA KUMI KATIKA BIBLIA
KUTOKA 20:17
Usiitamani nyumba ya jirani yako,
usimtamani mke wa jirani yako; wala
mtumwa wake, wala mjakazi wake,
wala ng'ombe wake, wala punda
wake, wala cho chote alicho nacho
jirani yako
AMRI YA KUMI KATIKA KATEKISIMU
Usitamani mali ya mtu mwingine
MAELEZO MAFUPI
Angalia hizo amri utaona ujanja
uliofanyika amri ya pili imeondolewa
kabisa kwa mjibu wa biblia na amri
ya kumi imegawanywa zikawa mbili
ilikusudi ijaze nafasi ya amri
iliyoondolewa ilimradi tu ziwe kumi

YHWH IS GOOD
 
Hivi mbona mi nimesoma hiyo mada sijaona sehemu yoyote alikoshambulia dini ya mwenzake??,, Hiv umekunywa omo lita ngapi??,, Si katoa kiapo tu,, tukijue sisi ambao tulikuwa hatukijui,, sasa wewe unalia nini??,, Mara wasabato mara nini,, ifikie muda muwe mnakuwa na akili,,,

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
Kanisa katoriki ndo kanisa lenye waumini wengi duniani, kwa hiyo unataka kusema watu wengi duniani ni wajinga hawazioni hizo dini unazodai za kweli?
 
Kanisa katoriki ndo kanisa lenye waumini wengi duniani, kwa hiyo unataka kusema watu wengi duniani ni wajinga hawazioni hizo dini unazodai za kweli?
MUNGU SIO WA DEMOKRASIA KAMA VYAMA VYA SIASA

Mathayo 7

13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo.
14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.

YHWH IS GOOD
 
gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Siku moja AROON nitakuumbua na usabato wako ujute
Acha dhihaka, kuupinga ukatoliki ni kupinga mpango ya Mungu
 
Vijana wa Hellen white, mnanifurahisha saaana, mnatumia nguvu kubwa kuliandama kanisa Catholic badala ya kuendekeza dhehebu lenu! [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah...ngoja nikae kimya tu!nshachefuliwa roho tayar!ngoja kwanza,naja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fear of unknown
 
Jina la YESU Limetajwa maranyingi,ila hapo kwenye kuandika jina lako kwa damu kutoka kifuani inaonyesha sio tukio la kawaida.Pia wanaposema to destroy other religion,sijapenda maana Mungu anasema usihukumu usije kuhukumiwa.
 
Hivi kuna Jesuits mablack? Au wote wazungu tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mpagani lakini katika madhehebu yote ni wasabato wanaojua maandiko bara2. Waroma hawajui kitu wanakaririshwa mambo ya ujanja2 tu. Angalia matokeo; wasabato wanawaelewesha kwa ushahidi wao wanalia2 badala ya kudefend kwa maandiko maana hawajui kitu!. Kwani shetani alivyomjaribu Kristo si alitumia maandiko? nae Kristo si alimshinda kwa maandiko? Sasa kilasiku nyie ni kulia2 tu! Harafu ukiwatembelea wasabato wao utakuta wanajifunza na kuchunguza maandiko, upande wa pili wanakazana na historia ya kanisa itawasaidia nini? sasa watu hata pombe wanakunywa halafu wanaamini wataenda kuishi na Muumba! acheni utani basi!
 
Sijawahi kuona kanisa lina matahira kama roman hata sanam wanaona halali ukiwaumbua kwa mambo yao eti unakuwa msabato vipi Martin Luther alikuwa msabato??
 
Sijawahi kuona kanisa lina matahira kama roman hata sanam wanaona halali ukiwaumbua kwa mambo yao eti unakuwa msabato vipi Martin Luther alikuwa msabato??
Pole sana kanisa lina miaka 2000 unadhani limefika kwa takataka zenu hizi cheap
 
Unaweza kujiona kipanga kumbe mjinga tu hata lugha unayotumia inaonyesha utupu wa kichwa chako. Huwezi kuita watu wenzio matahira tena kwenye Mambo ya imani Tena isiyokuhusu, hawajakulazimisha kuifata Imani yao Wala hawana desturi ya kufatilia Mambo ya wengine. Watu wajinga Kama nyie ndio hua mnasababisha machafuko kwenye nchi. Mambo ya dini ni sensitive, unapoyangelea lazma kuchagua maneno ya kuongea. Ujumbe wako wote unaweza kuuharibu kwa neno moja.
Sijawahi kuona kanisa lina matahira kama roman hata sanam wanaona halali ukiwaumbua kwa mambo yao eti unakuwa msabato vipi Martin Luther alikuwa msabato??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…