Viapo vya kujiunga Jesuit

ONE NATION
ONE ECONOMY
ONE RELIGION
 
Kumbuka Ellen G White,,ni mmoja kati ya watu walio anzisha Jehovah Witness
ACHA UONGO WEWE .,duh huna hata aibu

Jw imeanzishwa na Charles taze russel

Soon nitaleta historia had ya ulokole

YHWH IS GOOD
 
UNATATIZO LA KULAZIMISHA VITU AFU UNASEMA KANISANI X MASS...NGOJA NIKUPE RATIBA YA KANISANI KILA SIKU YA WAKATORIKI.....KILA ASABUHI TUNA MISA KILA SIKU ZA WIKI UMEELEWA ...TUNA VYAMA VYA KITUME..ambavyo lengo ni kumtangaza Kristu kwa wale wasiomwamini ukiwepo wewe .......HIYO BIBLIA UNAYOSEMA ANANISOMEA PADRI KILA SIKU NNAISO
UNATATIZO LA KULAZIMISHA VITU KUTOKANA NA VITU ULIVYOKARIRISHWA
AFU UNASEMA KANISANI X MASS...NGOJA NIKUPE RATIBA YA KANISANI KILA SIKU YA WAKATORIKI.....KILA ASABUHI TUNA MISA KILA SIKU ZA WIKI UMEELEWA ...TUNA VYAMA VYA KITUME..ambavyo lengo ni kumtangaza Kristu kwa wale wasiomwamini ukiwepo wewe apo unayejiita msabato ambaye kanisa lako lilianzishwa na kikundi cha watu yaani ELLEN G WHITE na wenzake ambaye hata unabii tu aliprove failure.......HIYO BIBLIA UNAYOSEMA ANANISOMEA PADRI KILA SIKU NNAISOMA na Padri kazi yake ni kuchanganua kama walivyo viongozi wengine wa kiroho

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Katika Ufunuo sura ya 17, "kahaba" ameelezwa. Anazo sifa nyingi zilizoelezwa, hivyo itakuwa ni rahisi kumtambua. Usikiapo jambo hili mara ya kwanza, huenda ukaichukulia hii kuwa ni lugha kali, lakini hata hivyo: alama zote za kutambulisha katika Biblia zaingiana na Kanisa Katoliki. Bila shaka kunao washiriki wengi wa kanisa hili ambao ni wazuri, wasio na hatia, na si kusudi letu kuwanasa. Lakini twajihisi kuwa tunao mwito wa kuwaonya wao, pamoja na wengineo dhidi ya mfumo huo, hali kadhalika mafundisho ambayo mfumo umejengwa juu yake. Uzuli ya onyo hili ni amri ya Biblia, na pia ya kwamba hatuwezi, hali kadhalika kwa sababu ishara na alama za kumtambua yule "Kahaba" kwa mujibu wa biblia zaingiana na utawala huu (Ufunuo 17:5).

Mojawapo ya ishara hizi ni:

Alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina la fumbo: "Babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani"(Ufunuo 17:5)

Kanisa katoliki hujiita mama wamakanisa. Katika barua waliotumiwa maaskofu wote wa ulimwengu, Cardinal Joseph Ratzinger aliandika hivi:

"Yapasa izidi kueleweka waziwazi ya kwamba kanisa moja lilio takatifu, la kikatoliki na la mitume linalozaa dunia nzima, hilo sio dada bali ni mama wa makanisa yote" (Daily telegraph,September 4, 2000).

Matangazo ya aina hii huchangia kuhakikisha ya kwamba kanisa katoliki ndilo linalo utimiza unabii wa Ufunuo 17:5.

YHWH IS GOOD
 
ACHA UONGO WEWE .,duh huna hata aibu

Jw imeanzishwa na Charles taze russel

Soon nitaleta historia had ya ulokole

YHWH IS GOOD
kanisa lenye lilianzishwa na genge la wahuni waliojiita manabii na wakashindwa kuprove huo unabii wakaanza kulaumiana.......Afu mimi na akili zangu nianze kuwasikiliza hebu soma hii makala kuhusiana na ELLEN G WHITE na genge lake la wahuni

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
hatuhitaji hiyo historia ya walokole ambazo mnadanganywa huko kanisani kwenu...sisi tunafahamu tayari tunataka uliongelee kanisa lako na mwanzilishi wenu

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
hatuhitaji hiyo historia ya walokole ambazo mnadanganywa huko kanisani kwenu...sisi tunafahamu tayari tunataka uliongelee kanisa lako na mwanzilishi wenu

I BLNG 2 JESUS CHRST
SABATO ILIANZISHWA NA MUNGU MWENYEWE PALE EDENI

Hebu tuwaulize Mapapa JE DOMINIKA NI PANDIKIZI LA NANI?

NGOJA SASA TUMUULIZE PAPA Yohana Paulo wa pili ,ANALIPI LA KUWAAMBIA NINYI MNAOFATA MKUMBO...

katika barua yake ya uchungaji "Dies Domini" ya Mai 1998, ametambua ya kwamba sabato ndiyo siku asili ya pumziko ya Mungu, lakini asema, bila ya kuona haya, ya kuwa"Wakristo, ambao wameitwa ili kutangaza uhuru uliyoshindaniwa na damu ya Kristo, walihisi kuwa wanayo mamlaka ya kuihamisha maana ya sabato hadi kwenye siku ya ufufuo" Papa pia anauzungumzia "utajiri wa kiroho na wa kiuchungaji uliomo ndani ya jumapili, kama ilivyokabidhiwa kwetu na utamaduni." Papa asema kuwa walihisi kuwa wanayo mamlaka ya kuyatekeleza mabadiliko haya, na pia aanakubali ya kuwa kuwepo kwa jumapili kama siku ya pumziko kutokana na utamaduni.

YHWH IS GOOD
 
NGOJA SASA TUMUULIZE PAPA Yohana Paulo wa pili ,ANALIPI LA KUWAAMBIA NINYI MNAOFATA MKUMBO...

katika barua yake ya uchungaji "Dies Domini" ya Mai 1998, ametambua ya kwamba sabato ndiyo siku asili ya pumziko ya Mungu, lakini asema, bila ya kuona haya, ya kuwa"Wakristo, ambao wameitwa ili kutangaza uhuru uliyoshindaniwa na damu ya Kristo, walihisi kuwa wanayo mamlaka ya kuihamisha maana ya sabato hadi kwenye siku ya ufufuo" Papa pia anauzungumzia "utajiri wa kiroho na wa kiuchungaji uliomo ndani ya jumapili, kama ilivyokabidhiwa kwetu na utamaduni." Papa asema kuwa walihisi kuwa wanayo mamlaka ya kuyatekeleza mabadiliko haya, na pia aanakubali ya kuwa kuwepo kwa jumapili kama siku ya pumziko kutokana na utamaduni.



YHWH IS GOOD
 
usijibu hoja nzito kirahisi ...nakuuliza swali unajua kusoma kiingeleza???? nisije nikawa nakupa vitu usivyovielewa lugha yake??? embu soma hapa

unafahamu maana ya founder?? okay naasume haujui ..... FOUNDER manaake mwanzilishi wa kitu fulani....na hiyo EDEN inapatikana marekani????,

hembu isome hiyo usipoelewa niulize maana inawezekana lugha pia ni tatizo ndio maana machapisho ya kikatoriki mnayatafsiri usivyo

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
ACHA KUOKOTEZA UJINGA WA MAJESUIT

UNAKOPY KILA UCHAFU WA MITANDAONI, SINA HATA MUDA WA KUSOMA UPUUZI HUO

Hebu tumsikilize aliyewahi kuwa Padre ,

Martin Luther, ambaye alilelewa kama Mkatoliki kabla ya kuugundua ukweli kulihusu shirika hili la undanganyifu, alisema: "Ni dhahiri kwamba alama za mpinga Kristo zinalingana na za ufalme wa papa na wafuasi wake". 34 unaweza kuipata taarifa hii kwenye kitabu kitwacho" Concord; the confessions of the Evangelical Lutheran Church. Luther hakukosea hapa, kwani ushahidi wote utokanao na biblia wa kumtabua mpinga Kristo mkuu, yaani -"mnyama" - waingiana na upapa.


YHWH IS GOOD
 
ENDELEA KUROPOKA , HALAF MIMI SISOMAGI UPUUZ WA KUOKOTEZA

SABATO INAJULIKANA ILIANZA EDENI


LABDA UTUAMBIE WW ILIANZA WAPI

YHWH IS GOOD
 
ENDELEA KUROPOKA , HALAF MIMI SISOMAGI UPUUZ WA KUOKOTEZA

SABATO INAJULIKANA ILIANZA EDENI


LABDA UTUAMBIE WW ILIANZA WAPI

YHWH IS GOOD
HIVI KATI YANGU NA WEWE NI NANI ANATELOPOKA??????? UNAWEZA UKANITOFAUTISHIA KATI YA SABATO NA WASABATO???TATIZO LAKO UNAPANIKI TULIZA AKILI USIKURUPUKE HUU NI ULIMWENGU MPYA NI TOFAUTI NA ILIVOKUWA RAHISI KUWADANGANYA WATU MIAKA YA ZAMANI.........

KWA HIYO HIZO STORY UNAZOEDIT UNATAKA TUENDELEE KUBISHANA????
MARTI LUTHER ILIKUWA NI ISHU YA KUHUSIANA KIONGOZI WA KIROHO KUOA NA SI VINGINEVYO

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Wewe inaonesha ni maamuma

YHWH IS GOOD
 
AFU NIKUULIZE SWALI DOGO TU??????

KWANINI MSABATO ANAPINGANA KA WAKRISTU WENGINE NA WAISLAM????

SHIDA NI NYIE AU SISI WAKRISTU NA WAISLAMU TAFAKALI HILO

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Mkuu uyo dogo anakupotezea muda wako,muambie kwanza ayaishi ayo anayoyapigia kelele na kuyaamini

Post sent using JamiiForums mobile app
sawa mkuuu maana yaani kamezeshwa huko kwao anafikiri anaweza akamkonvince kila mtu awe MSABATO

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Embu fafanua ww mwenye utashi kuliko mwenzio tuona upeo wako wa akili

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Safi sana, wasabato masalia hawaishi kulichafua kanisa la Mungu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…