Watumia viagra wako kwenye hatari kubwa kupata heart attack ata kama hawana matatizo yeyote
huenda alikunywa pombe pia. viagra na pombe ni kujichimbia kaburi mapemaaaaa, hata kama ni kijanaHabari za jioni wapendwa,
Huyu baba ni mzee wa 60+ lakini pesa imemtembelea, si pesa hii ya kubadilisha mboga tu, hapana ni pesa ndefu, kila mwaka birth day yake anajipa treat ya Range Rover mpya ni mfano tu wa maisha anayoishi. Baba ana mke, watoto na wajukuu, lakini si unajua adabu ya pesa ameama kuwa mzee kijana.
Baba amepata kitoto cha chuo kikuu, sikujui kitoto kile kimempa mahaba gani mzee ambayo hajawaji kuyapata, mzee amechanganyikiwa kabisa kwa katoto ambacho kanaweza kuwa kitoto chake cha mwisho au kijukuu.
Kila alichotaka mtoto alipewa, sasa bwana, weekend moja mzee ameshachukua chumba hotelini akapumzike na mtoto. Mama nyumbani ameambiwa ni business meeting. Mzee amenunua Viagra aweke heshima kwenye mechi.
Goli la kwanza halijafika, mzee mapigo ya moyo yamebadilika, mzee chali kitandani. Mtoto akaona hili soo, alivyokuwa jasiri, katoto kalichukua face towel na kuanza kumfanyia mzee towel bath ili kupoteza ushahidi wa DNA zake. Mzee amekata roho kitu kikiwa katika 45 degree angle. Mtoto amevaa nguo, amechukua kile ki face towel huyooo kapotea.
Nyumbani wanamtafuta lakini mama alijua business meetings nyingi za mzee zinafanyika hotelini na akichelewa analala huko. Mhudumu wa hoteli aje afanye usafi ndiyo anakutana na maiti. Kujulikana ni nani, familia kupigiwa simu. Mama hana hamu, anaonyeshwa maiti ya mumewe kwenye shuka bado kitu kiko 45 degree angle.
Mwangalie afya zenu kwanza kabla ya kumeza haya ma Viagra.
au ndo wewe uliyemwua mzee wa watu, umejuaje km mashine bado ipo 45 degree!
Sakumbuki niliposomaSource please
kuna uvumi unaoshikilia kuwa viagra ni mojawapo ya dawa zinazotumika kutibu gonjwa la heart attackWatumia viagra wako kwenye hatari kubwa kupata heart attack ata kama hawana matatizo yeyote
Shkrani mkuuSakumbuki niliposoma
Ila watumiaji wote wapitie huku
Viagra: Uses, Dosage & Side Effects Information - Drugs.com
Kuna umri ukifika ni vyema kukubaliana na hali, kwa umri kama ule wapo wazee wanaoweza kuweka heshima angalau ya two rounds. Lakini kwa walio wengi umri ule ni kula vizuri kunywa na kulea wajukuu. Mara moja moja vitoto hicho ni kukichukua kikukandekande na kukunyoosha misuri.
Kutibu tena?kuna uvumi unaoshikilia kuwa viagra ni mojawapo ya dawa zinazotumika kutibu gonjwa la heart attack
Ombea yasikukute!!! Utapiga mabao ya mkono kutuliza!hivi ukitumia ile viagra kisha wa kushiriki mechi naye akose itakuwa vipi?..wajua mambo ya kihivi hutokea!
miss you msomali,lini utatupikia mandi?[emoji1] atakua mpelelezi buana
[emoji4] [emoji108] mim mboga saba....traditional foods cjui..labda chip's yai[emoji23] [emoji23] [emoji23]miss you msomali,lini utatupikia mandi?
Mabibonchi gani maana sijasikia hii breaking news hapa bongo mamiii
kweli ila si wajua dawa ya moto ni moto...hizi dawa zikiwa katika vipimo tofauti na vile vya kutilia mioto ya kidume hujumuishwa na madawa mengine kwa ajili ya tiba ya heart attack..Kutibu tena?
Ukiwa unamatatizo ya moyo huruhusiwi tumia viagra
waweza ukafanya lolote uje jutia baadae..si ndama si vijibwa si wapita njia..mwishowe ukajikuta taabaniOmbea yasikukute!!! Utapiga mabao ya mkono kutuliza!
hahaha yabidi tukupeleke kwa bibi wa bibi Mogadishu[emoji4] [emoji108] mim mboga saba....traditional foods cjui..labda chip's yai[emoji23] [emoji23] [emoji23]