Viagra condom imeingia sokoni!

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372


Read more: Stiff Competition: Could a New 'Viagra Condom' Encourage Safer Sex? - - TIME Healthland

condomcropped.jpg


The problem with condoms is that they don't get used as often as they should. But an innovative new product by a British biotech firm may change men's minds: called CSD500, the condom helps men keep their erection longer.
It's been dubbed the "Viagra condom," but that's not entirely accurate. The new product is lined with a vasodilating gel, which increases blood flow to the penis and helps maintain erection. But unlike the pill, it's not designed for men who have erectile dysfunction; rather, it's meant for men who have trouble keeping erections specifically while using a condom.


 
Mkuu hiyo ni poa,maana hili limekuwa tatizo kubwa kwa watu wengi na watu wamekuwa wanakimbilia madawa ili kuwaridhisha wenzi wao.Ninavyodhani madawa yataharibu watu wengi sana na sidhani kama miaka 15 mpaka 20 ijayo kama tutakuwa na wazee rijali kama waliopo sasa.Bora hizo condom zitaokoa vijana wengi kwenye janga hilo lijalo.
 
Mmh mi napata wasiwasi kidogo!! tusije tukatumia hizi baada ya miaka 2 zimeisha sokoni,narudi kwenye 'salama' au 'dume' nakuta kitu kimesinyaa hata kikishikwa mike hakiwiki. Mtazamo tu.
 
Kuna vijana wengi wanalalamikia condom eti zinawapunguzia uwezo wa kufika rounds nyingi tofauti wakizipiga kavu kavu jambo ambalo ni hatari kunasa kwenye umeme. Labda safari hii hili litakuwa suluhisho
 
may b itasaidia sio condom zetu znachosha znawahi kukauka mafuta da yan radha hakuna ndo maana wengi wameamua kula peku tu
 
Back
Top Bottom