Vi-wonder vya Kenya

GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,902
10,502
Huwa nasikia tu kuhusu kujikweza kwa hawa Wakenya kwamba wana "viwanda" vinavyoitegemeza Tanzania.

Nikawa najiuliza, ni viwanda vya aina gani vilivyopo Kenya? Vingapi? na vinazalisha kitu gani?

Navifahamu viwanda viwili tu, vya kutengeneza BIG G na plastiki.

Hizo BIG G ndizo zinazoitegemeza Tanzania ama huwa wanamaanisha nini hasa wakisema "wanaitegemeza" Tanzania?

Hilo neno la "kutegemeza" walilitoa wapi hawa?

Kutegemeza?
 
Viwanda vipi Tanzania inavitegemea kutoka Kenya? Huwa wanafikiri 50 years back

Kama kungekuwa na huo uhitaji kihivyo mpaka saivi bidhaa za viwandani huko madukani zingepanda basi kama sukari ilivyopanda siku chache zilizopita kutokana na viwanda vyetu kwenda service

Badala yake bei ya vyakula Kenya nzima ndio imepanda kichizi, haishikiki mpaka masoko na biashara nyingi zimefungwa kabisa kutokana na supply breakdown kutoka Tanzania.

Uzuri hili saga limewaonesha wakenya wengi ni kwa namna gani wanavyoitegemea Tanzania.

sasa hawa wakenya huwa wanazungumzia viwanda gani haswa?
 
Leteni takwimu za jumla ya hela ambazo viwanda vya Kenya vinaingiza kwenye uchumi wa Kenya na hivyo hivyo kwa viwanda vya Tanzania kwenye uchumi wa Tz, mtaona aibu nawahakikishia. Kumbukeni kwamba kwa sasa Kenya inauza bidhaa nyingi zaidi ya inazonunua kutoka Tz na pia nchi zote zingine ukanda huu wa Afrika mashariki na ya kati. Bidhaa ambazo Kenya inauza ukanda huu kwa wingi sio maharagwe na mahindi kama Tz, bali ni bidhaa kutoka kwa viwanda. K.m mwaka jana top export ya Kenya nchini Tz ilikuwa ni madawa.
 
Hebu taja hivyo viwanda vyenu na useme vinazalisha kitu gani.
 
Leteni takwimu za jumla ya hela ambazo viwanda vya Kenya vinaingiza kwenye uchumi wa Kenya na hivyo hivyo kwa viwanda vya Tanzania kwenye uchumi wa Tz, mtaona aibu nawahakikishia. Kumbukeni kwamba kwa sasa Kenya inauza bidhaa nyingi zaidi ya inazonunua kutoka Tz na pia nchi zote zingine ukanda huu wa Afrika mashariki na ya kati. Bidhaa ambazo Kenya inauza ukanda huu kwa wingi sio maharagwe na mahindi kama Tz, bali ni bidhaa kutoka kwa viwanda. K.m mwaka jana top export ya Kenya nchini Tz ilikuwa ni madawa.
Hujui unachozungumza ww in short Tz hatuitegemei Kunyaland kwa chochote hata border closure haitaweza yumbisha taifa na pia incase wananchi wetu mpakani wanaweza fanya biashara na mikoa ya ndani japo tutayumba kwa mpakani kidogo lakini surely kunyaland has got much more to lose. Ndo maana ya kuwa Tz EAC GIANT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha mzaha wewe, hivyo ni vitu simpo sana kuvidhibitisha, kama huna mbs kopa kwa jirani. 2019 viwanda vya Kenya viliingizia nchi ya Kenya takriban $7.12Billion. Mwaka huo huo viwonder vya Tz vikaiingizia Tz $996Million tu, tafakari hayo. Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
yaani ninyi makusanyo yote ya kodi mwaka mzima hamfiki $8B ndio viwanda pekee viwaingizie $7B

Ndio maana mnatapeliwa na vibaka wenu mnaowaita viongozi kama mazezeta 🚮🚮🚮
Screenshot_20200819-151350~2.png
 
yaani ninyi makusanyo yote ya kodi mwaka mzima hamfiki $8B ndio viwanda pekee viwaingizie $7B

Ndio maana mnatapeliwa na vibaka wenu mnaowaita viongozi kama mazezeta View attachment 1542105
Jione, zezeta ni wewe ambaye hujui tofauti kati ya total manufacturing revenue na tax from manufacturing revenue. Mwaka wa 2019, nchini Kenya: Total Manufacuring revenue-$7.12Billion, Tax from Manufacturing revenue- $1.64Billion. Tanzania: Total Manufacturing revenue- $996Million, Tax- who cares? Yaani kwa ufupi GOK iliingiza hela nyingi kutoka kwa ushuru uliotozwa viwanda-$1.64B, zaidi ya hela zote ambazo viwonder vya Tz viliingiza kwenye uchumi wa Tz-$996M, achilia mbali ushuru. Bure kabisa, kwenye viwanda tafuteni ligi na nchi nyingine. K.m. Burundi.
 
Back
Top Bottom