GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,562
Huwa nasikia tu kuhusu kujikweza kwa hawa Wakenya kwamba wana "viwanda" vinavyoitegemeza Tanzania.
Nikawa najiuliza, ni viwanda vya aina gani vilivyopo Kenya? Vingapi? na vinazalisha kitu gani?
Navifahamu viwanda viwili tu, vya kutengeneza BIG G na plastiki.
Hizo BIG G ndizo zinazoitegemeza Tanzania ama huwa wanamaanisha nini hasa wakisema "wanaitegemeza" Tanzania?
Hilo neno la "kutegemeza" walilitoa wapi hawa?
Kutegemeza?

Mwaka wa 2019, nchini Kenya: Total Manufacuring revenue-$7.12Billion, Tax from Manufacturing revenue- $1.64Billion. Tanzania: Total Manufacturing revenue- $996Million, Tax- who cares?
Bure kabisa, kwenye viwanda tafuteni ligi na nchi nyingine. K.m. Burundi.