Angefinywaaaaaa chuchuHahaha!!!
Aiseee kuna mambo mengine yanafurahishaaaNa kubanwa kende juu haha
Youtube huwa wanazo backup za video zote kwama ukidelete unaweza backup na zikardMbona despacito ipooView attachment 740966
Duuh i am inspired hahahDespacito waneifuta original iliyokuwa uploaded na vevo zilizobaki ni despacito zilizo uploaded na watu tofauti tofauti n u know wats funny Gangnam style ali upload in his own na sio vevo hivyo imebaki na nyingine wamebadilisha
Kumbee haijasaidia chochote...Youtube huwa wanazo backup za video zote kwama ukidelete unaweza backup na zikard
Ndo zinaviers 5B...!????Despacito waneifuta original iliyokuwa uploaded na vevo zilizobaki ni despacito zilizo uploaded na watu tofauti tofauti n u know wats funny Gangnam style ali upload in his own na sio vevo hivyo imebaki na nyingine wamebadilisha
Ndo zinaviers 5B...!????
Kupendapenda hovyo utakuja penda hadi mashetani!Jaman hacker nakupenda
imesaidia sana kuwapa tahadhari YouTube kwamba hawapo salama kuna loophole mahali wanabidi kujitathimini na pia huyo hacker amepata umaarufu mitandao kama fb,telegram na whatsapp ukigundua kama kuna loophole na kuhack account unalipwa mamilioni ya dollarKumbee haijasaidia chochote...
Kwel aseehimesaidia sana kuwapa tahadhari YouTube kwamba hawapo salama kuna loophole mahali wanabidi kujitathimini na pia huyo hacker amepata umaarufu mitandao kama fb,telegram na whatsapp ukigundua kama kuna loophole na kuhack account unalipwa mamilioni ya dollar
Nakupenda piaJaman hacker nakupenda
Mbona nimeingia YouTube nimezikuta despacito na god's plan au youtube wamezirudishaDespacito waneifuta original iliyokuwa uploaded na vevo zilizobaki ni despacito zilizo uploaded na watu tofauti tofauti n u know wats funny Gangnam style ali upload in his own na sio vevo hivyo imebaki na nyingine wamebadilisha