Vevo YouTube accounts Hacked

Vevo YouTube accounts Hacked

rootadmin

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
348
Reaction score
243
Hacker mwenye jina la kuroi sh amedukua account ya vevo na kufuta video ambayo imeangaliwa sana ya DECPACITO yenye viewers 5B na video ya shakira yenye takribani 2.5B viewers na pia amafuta na video ya drake yenye viewers 357M ya GodsPlan..
 
Makubwaaaaa
 
Aidukue Na tarehe 26/04/2018
 
Kuna watu ni nomaaa
Screenshot_2018-04-11-08-42-57.jpg
Screenshot_2018-04-11-08-43-18.jpg
Screenshot_2018-04-11-08-43-36.jpg
 
Hii taarifa niliiona jana asubuhi sehem sikuifatilia kwa makini najiuliza huyo hacker anapata faida gani?
Faida
1. Ufahari na umaarufu. Suala la kudukua siyo la mchezo linahitaji uwe na knowldege kubwa ya mambo ya IT. Hapo ameshaweka jina kwenye ulimwengu km mdukuzi mwenye knowldege kubwa aliyeweza kudukua account kubwa. Vyombo vyote vya habari vimemtamgaza kwahiyo hapo anaonekana ni kipanga
2. Kulipwa
Hii inatokea mara chache ambapo mdukuzi hulipwa km asante ya kuwafanya wawe makini na kuziba mianya ya matobo kwenye system security yao. Hii itawafanya watengeneze program ambazo zitaziba mianya ya watu wengine kudukua.
3. Kazi
Huyu atapata kazi na pengine kugombaniwa na mashirika yanayohusika na masuala ya kiteknlojia ili kuwazibia mianya ya wadukuzi wengine kudukua system zao.
Mfano. Anaweza ajiriwa kwenye bank, makampuni ya teknlojia km microsoft ya bill Gate au makampuni ya simu.
Kumbuka kuna program kila kukicha zinatengenewa na zinauzwa lkn kuna baadhi wanatumia bure kwann? Kwa sbb ya kuwepo kwa watu km hawa wadukuzi
 
Ni kweli tang juz.. Faida yake jamaa kawa famous na kwekwa kwenye list ya hackers sahizi yupp nafasi ya 5 kutoka 100 alipo kuepo zamani pia hackers nao wap kama artist tuu kushindania nafasi so jamaa kahit sana ndo faida yake hyo then kahack vevo so anaweza akachange payments details na kuwek kwake yeye ndo analipwa baada ya wenye video.. Ila sina uhakika sana na hili la kuchange payments details alipwe yeye..

Kwakifupi jamaa kafaidika na kiki na rank katika levels za hacking bas
 
Aidukue Na tarehe 26/04/2018
Hawa wengi wapo tele na kwa mawazo yao wanajua tele ni safe haionesh namba zao za simu kumbe zinawesa kuonekana lakin hawawez kuona wanach chat ila namba zinaonekana bila ubishi
 
Ni kweli tang juz.. Faida yake jamaa kawa famous na kwekwa kwenye list ya hackers sahizi yupp nafasi ya 5 kutoka 100 alipo kuepo zamani pia hackers nao wap kama artist tuu kushindania nafasi so jamaa kahit sana ndo faida yake hyo then kahack vevo so anaweza akachange payments details na kuwek kwake yeye ndo analipwa baada ya wenye video.. Ila sina uhakika sana na hili la kuchange payments details alipwe yeye..

Kwakifupi jamaa kafaidika na kiki na rank katika levels za hacking bas
aiseeee safi sana je hawez kushtakiwa polisi
 
Faida
1. Ufahari na umaarufu. Suala la kudukua siyo la mchezo linahitaji uwe na knowldege kubwa ya mambo ya IT. Hapo ameshaweka jina kwenye ulimwengu km mdukuzi mwenye knowldege kubwa aliyeweza kudukua account kubwa. Vyombo vyote vya habari vimemtamgaza kwahiyo hapo anaonekana ni kipanga
2. Kulipwa
Hii inatokea mara chache ambapo mdukuzi hulipwa km asante ya kuwafanya wawe makini na kuziba mianya ya matobo kwenye system security yao. Hii itawafanya watengeneze program ambazo zitaziba mianya ya watu wengine kudukua.
3. Kazi
Huyu atapata kazi na pengine kugombaniwa na mashirika yanayohusika na masuala ya kiteknlojia ili kuwazibia mianya ya wadukuzi wengine kudukua system zao.
Mfano. Anaweza ajiriwa kwenye bank, makampuni ya teknlojia km microsoft ya bill Gate au makampuni ya simu.
Kumbuka kuna program kila kukicha zinatengenewa na zinauzwa lkn kuna baadhi wanatumia bure kwann? Kwa sbb ya kuwepo kwa watu km hawa wadukuzi
Kabisaa yaani
 
aiseeee safi sana je hawez kushtakiwa polisi
Hadi washikwe ndo watashitakiwa cia fbi nsa ndo wachunguz wa cybercrime nao wana hackers wao ambao wanaweza fanya analysis ya attack na kujua wapi imeanzia na chanzo ni nini kingine wakipata ushahidi ndo wataweza kusashikilia
 
Na wakiwashika ndo kama hivyo wananunuliwa kwa ajil ya kupigaa kazi maisha yanasongaa
 
Hadi washikwe ndo watashitakiwa cia fbi nsa ndo wachunguz wa cybercrime nao wana hackers wao ambao wanaweza fanya analysis ya attack na kujua wapi imeanzia na chanzo ni nini kingine wakipata ushahidi ndo wataweza kusashikilia
Kwa nchi km marekani watu km hawa huwa hawafungwi au kunyongwa. Hawa huchukuliwa kisiri na kuajiriwa CIA au FBI km mtu wa IT. Marekani inahuhitaji mkubwa sana wa hawa watu kwasbb ya nature ya kazi zao.
Unakumbuka lile sakata yule gaidi na simu ya apple? Marekani inahitaji ipenye kote ili kupata taarifa kwahiyo huyo ni mtu muhimu
 
Angekuwa hapa kwa wazeee wa kiki angekomaaa
 
Back
Top Bottom