VERZUZ: TUPAC VS. NOTORIOUS B.I.G (PART 2)

This is hot niga[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Hivi kwanin sikuifaham kitambo!!!

Okey nipe play list at least ngoma 10 hiv ambazo sio common sana kwa watu ila ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi hii ngoma sio common saana!? Sikiliza letter to my unborn child, sikiliza keap ya head up, sikiliza until the end of time.
 
Keep ya head up, hii ngoma[emoji91][emoji91][emoji91] verse ya kwanza na ya mwisho ni mawe sana

Let me listen hizo zingine mzee

Thanks[emoji109]
 
Biggie alikuwa moto.. Storytelling yake kwenye nyimbo na jinsi anavyoflow ni unmatchable..!
Sikiliza nyimbo kama Juicy.. Warning..

Tupac nyimbo kali alitoa zinazogusa jamii na maisha kabisa ya watu weusi.. Ila mbeleni alijichanganya kwenye thugs life.. Ndio akapotezwa huko..!

Kwangu kimuziki.. Biggie Smalls >>> Tupac Shakur..!
 
Big kafanya vizuri lakin pac kafanya vizuri zaidi

Hii inathibitishwa kwenye hits songs zao
 
Tupac ameingia kwenye game kabla ya Biggie.. Anazo nyimbo na albums mara mbili zaidi..!

Nyimbo kuhit kuna mambo mengi..marketing ya Label ya Tupac.. Deaths Row walikuwa Mafia..Suge Knight alikuwa associated na Mob Piru..
Angalia sales za albums zake kabla ya kujiunga na Death Row..!

Mpaka anatoa nyimbo kama Hit Em Up kuna mahali alikuwa amebanwa mbavu..!
 
Running
Sky is the limit
Juicy
Warning.

By the way 2Pac alikuwa mkali zaidi. Nadhani hata wanaosema Biggie anaflow kali kuliko Pac ni katika kumtafutia angalau uzani sawa na Pac.
Ukimsikiliza Pac wa Do For Love sio Pac wa Dear Mama wala Late Night.
 
Kwani mzee death row alikuwa msanii ni pekee yake? Kwanini wengine wasitambe kwa nguvu za death row. Kiukweli pac alikiwa wa moto mnoo, hata flow zake ni noma cheki i aint mad at cha alivyoflow, kwa miaka ile flow ile sijui unaipata kwa nani, sikiliza do for love, DEAR MAMA[emoji3531], California love aisee alitiririka kinya, me against the world, hail marry kidoogo
 
Naunga mkono, bado pac alikuwa na flow nzuri zaidi.

Mule kwenye i ain't mad at cha ni habari nyingine, kaflow kama hataki, zamani wengi walikiwa na flow ya namna moja, kulikuwa na aina fulani hivi ya flow ya kihip hop, ila pac alikiwa anabadilika mbaaya, wa dear mama sio hit em up, wa all eyez on me sio keap ya head up, wa California love sio wa aint mad at cha, flow nzuri, energy mapafu ya mbwa..

Remember gangster party.... Alifanya matusi 2 of amerikaz most wanted ni fireee, snoop ilibidi apoe tu [emoji23]
 
Kwani mzee death row alikuwa msanii ni pekee yake? Kwanini wengine wasitambe kwa nguvu za death row. Kiukweli pac alikiwa wa moto mnoo, hata flow zake ni noma cheki i aint mad at cha alivyoflow, kwa miaka ile flow ile sijui unaipata kwa nani, sikiliza do for love, DEAR MAMA[emoji3531], California love aisee alitiririka kinya, me against the world, hail marry kidoogo
Aisee unawafahamu wasanii waliokuwa Death Row..!!?
Tuanze na Snoop wa Long Beach, California.. Mwaka 1993 ameachia Doggystyle.. Wiki ya kwanza kauza 800k kopi.. Wakati album ya Tupac ya mwaka huo mauzo yote ni 1.6M..!
Ulete album ya Tupac yenye mauzo zaidi ya Doggystyle..!

Tusogee kwa Dr Dre wa Compton..1992 ameachia The Chronic..wakati huo album ya Tupac ipo sokoni na haijatoboa 500k sales.. Huku The Chronic anahit 3M..!

Hii kitu mpaka leo.. Mziki unatawaliwa na labels.. Death Row ndio alikuwa giant.. Lazima utoboe..!
Suge Knight alikuwa mtu wa kufanya vitu vitokee.. Kumbuka alienda kumbail out Tupac kwa 1.4M usd..! Yeye ndio alikuwa anacontrol industry..!

Puffy hakuwa kama Suge Knight.. Ila Biggie ukimpa mic kwenye lyrics na flow hakuna mpinzani..!

Hit Em Up ilionyesha kabisa Tupac anahasira na Biggie..
 
Running
Sky is the limit
Juicy
Warning.

By the way 2Pac alikuwa mkali zaidi. Nadhani hata wanaosema Biggie anaflow kali kuliko Pac ni katika kumtafutia angalau uzani sawa na Pac.
Ukimsikiliza Pac wa Do For Love sio Pac wa Dear Mama wala Late Night.
Bila kusahau
Big Poppa..
Aliiweka East Coast kwenye ramani ya Hip Hop..!
Tupac alipotoka jela flow yake ilibadilika.. Akaanza kuwa aggressive.. Hakutakiwa kujihusisha kabisa na Suge Knight.. Labda angekuwa hai mpaka leo..!
 
Na ndio reason suge knight was killer wa pac
Sio hao akina big

Death row wakiwa na pac ilikua fire sana
Sasa PAC aka terminate contracts ili aingie upande wa kina big, ile kitu suge knight ilimuumiza sana

So akaanza ku master mind the suicidal mission, kwenye kivuli cha kina big
 
Tupac kutoka Death Row hiyo ni kweli.. Aliona ananyonywa.. Mambo haya ni kawaida kabisa kwenye labels.. Hata hapa nyumbani tumeona.. Ila Tupac alisahau kuwa Suge Knight alimtoa jela.. Alimsaidia Mama yake kulipia deni la nyumba.. Kwahiyo ilikuwa ni business.. Lazima arudishe pesa yake..!

Kuhusu kifo.. Suge Knight sio rahisi kuhusikia.. Tupac alijichanganya kuishi kama gangbanger wakati hakuwa gangster.. Siku ya tukio alimpiga ngumi Orlando.. Huyu Orlando ni certified shooter kwenye hood.. The guy asingeweza kurudi kwenye hood na kusema nimepigwa.. Kwahiyo ilibidi aweke heshima.. Tupac akapotezwa.. Kosa la Suge Knight labda ni kuruhusu Tupac kumshambulia Orlando wakati anamfahamu ni certified shooter.. Orlando alitakiwa apigwe na gangbangers wa Piru..!
 
Aisee unawafahamu wasanii waliokuwa Death Row..!!?
Tuanze na Snoop wa Long Beach, California.. Mwaka 1993 ameachia Doggystyle.. Wiki ya kwanza kauza 800k kopi.. Wakati album ya Tupac ya mwaka huo mauzo yote ni 1.6M..!
Ulete album ya Tupac yenye mauzo zaidi ya Doggystyle..!

Tusogee kwa Dr Dre wa Compton..1992 ameachia The Chronic..wakati huo album ya Tupac ipo sokoni na haijatoboa 500k sales.. Huku The Chronic anahit 3M..!

Hii kitu mpaka leo.. Mziki unatawaliwa na labels.. Death Row ndio alikuwa giant.. Lazima utoboe..!
Suge Knight alikuwa mtu wa kufanya vitu vitokee.. Kumbuka alienda kumbail out Tupac kwa 1.4M usd..! Yeye ndio alikuwa anacontrol industry..!

Puffy hakuwa kama Suge Knight.. Ila Biggie ukimpa mic kwenye lyrics na flow hakuna mpinzani..!

Hit Em Up ilionyesha kabisa Tupac anahasira na Biggie..
Tutakesha hapa..

Haya mkuu iwe kama utakavyo wewe.
 
Back
Top Bottom