Aisee unawafahamu wasanii waliokuwa Death Row..!!?
Tuanze na Snoop wa Long Beach, California.. Mwaka 1993 ameachia Doggystyle.. Wiki ya kwanza kauza 800k kopi.. Wakati album ya Tupac ya mwaka huo mauzo yote ni 1.6M..!
Ulete album ya Tupac yenye mauzo zaidi ya Doggystyle..!
Tusogee kwa Dr Dre wa Compton..1992 ameachia The Chronic..wakati huo album ya Tupac ipo sokoni na haijatoboa 500k sales.. Huku The Chronic anahit 3M..!
Hii kitu mpaka leo.. Mziki unatawaliwa na labels.. Death Row ndio alikuwa giant.. Lazima utoboe..!
Suge Knight alikuwa mtu wa kufanya vitu vitokee.. Kumbuka alienda kumbail out Tupac kwa 1.4M usd..! Yeye ndio alikuwa anacontrol industry..!
Puffy hakuwa kama Suge Knight.. Ila Biggie ukimpa mic kwenye lyrics na flow hakuna mpinzani..!
Hit Em Up ilionyesha kabisa Tupac anahasira na Biggie..