Mkuu hao wenye manyota kwani walianzia kwenye manyota?Umenotice kitu? Picha ya kwanza wale wawili hawana medali, sare zipo tupu.
Picha ya pili sare zao zimepambwa medali.
Ikimaanisha vita wameshinda halafu sifa zote zimechukuliwa na hao wawili.
Damn hata historia itawakumbuka hawa wawili, leo hii unamjua Kinjekitile Ngwale, Said Barghash, Samora Machel utadhani vita walipigana peke yao.