Very Touching!

orangutan

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
759
772
FB_IMG_1497465677374.jpg
 
Huo ndiyo ukweli hata Diwani anapogombea, mnahangaika kwenye Kata yenu, hamlali, wanafanya kila fitna, akishapita anakuwa mla rushwa, anafanya mambo kwa maslahi yake binafsi.
 
Umenotice kitu? Picha ya kwanza wale wawili hawana medali, sare zipo tupu.
Picha ya pili sare zao zimepambwa medali.

Ikimaanisha vita wameshinda halafu sifa zote zimechukuliwa na hao wawili.
Damn hata historia itawakumbuka hawa wawili, leo hii unamjua Kinjekitile Ngwale, Said Barghash, Samora Machel utadhani vita walipigana peke yao.
 
Mkuu hao wenye manyota kwani walianzia kwenye manyota?
Ndio maisha yalivyo.
 
Hiyo kazi ya unajeshi ndio kazi ambayo sijawahi kufikiria kama naweza kuifanya.

Kupigana apigane mwingine na cheo apandishwe mwingine huo ujinga siwezi kuufanya kamwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom