Very graphic (Above 18 Only)

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,105
In 2016 on April 15th, Bret Bohn saved his father when he was attacked by bear whilst hunting

While first seeing the footage and images I had no doubt in my mind it had to be shared

The physical body of all animals is so malleable that even when a face is basically so mangled and contorted that facial features are barely recognizable, the adrenaline in the system keeps the individual acting “normal”

We see this in a lot of the posts I share where the prey has been badly hurt

Don’t https://jamii.app/JFUserGuide With Bears
reall_nature_20200325_222341_0.jpeg
reall_nature_20200325_222341_3.jpeg
reall_nature_20200325_222341_1.jpeg
reall_nature_20200325_222341_4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Holly.....cow!

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
huko wana hospital aiseee huwezi amini
In 2016 on April 15th, Bret Bohn saved his father when he was attacked by bear whilst hunting

While first seeing the footage and images I had no doubt in my mind it had to be shared

The physical body of all animals is so malleable that even when a face is basically so mangled and contorted that facial features are barely recognizable, the adrenaline in the system keeps the individual acting “normal”

We see this in a lot of the posts I share where the prey has been badly hurt

Don’t **** With Bears
View attachment 1399417View attachment 1399418View attachment 1399419View attachment 1399420

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes attitude ya mtu inasaidia ku survive ukikutwa na adversaries (ajali au magonjwa).

Kuna kitabu kimoja kinaitwa Barefoot Over the Serengeti mwandishi aliwahi kukutana na moran wametoka kupigana na wasukuma kwenye wizi wa ng'ombe. Walikua kama wanne mmoja kichwa kimepasuka fuvu ubongo unaonekana mwingine kachomwa mkuki sehemu ya mwili na mwingine alipata jeraha tu la kukatwa sikio.

Yeye mwandishi wa kitabu pamoja na mkewe wakawasaidia kuwafikisha hospital lakini baada ya muda yule wa kuumia sikio alifariki wengine wakapona. Sababu ya kufa inasemekana alikuwa hakubaliani na ile hali ya kuishi bila sikio lake lililo tobolewa kama ishara ya moran. Hivyo alipoteza pride yake na ikamfanya kama aka give up na ndio maana akafa.
 
Huyo mzee bado anauwezo wakuona? Halafu hilo dubwashika linashambulia usoni tu
 
Hadi hapo alikuwa anaichungulia mbingu...

Unajua kuna vitu mwanadam ukipita unaishia kusema..dah..hakika alikuwa ni mungu!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom