Verossa

ya wote mdogo wangu! si unajua mimi ni cha wote! wanajisevia tu! hata yako ilete nitaibebea mgongoni!
 
khe za siku nyingi shost naona umeamua kuokoa jahazi
utu uzima jalala mdogo wangu! eo hata used c.o.ndoms napokea tu! khaaaaa, majanga mwali! gari apande yeye, raha pate yeye, povu limtoke Mentor! jamani mumuwacheeeeeeeeeee shoga angu apumuweeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
umemaliza yoteeeeeeeeeeeeeeeee! bhassssssssssssssssssssss!

Mke wa ujana wangu umeanza lini umbea?

Haya nipe sababu kuu mbili kwanini leo asubuhi hujaniamsha. Hivi hujui kupata cha asubuhi ni haki yangu uliyoapa kunipa kila siku kasoro siku nne au tano za mwezi?

Baada ya kusema hayo hebu nifafanulie binti amu hapa anadiskashen makitu gani?

Mi ngashoka mpaka baaasi na machale kundesa...
 
Last edited by a moderator:
WE ACHA TU!
yani nimekumiso kama nini niendikiemo piemu!
af nitumiemo na zile picha basi nataka niwe nakuangalia ujue!

Hahaha hilo lakukupiemumo hebu omba kibali kwa mke wa ujana wangu cacico. Ana wivu na kukaba kama mke wa Obama.

Umenionea wapi homuboi wangu Kaizer? Nataka aje anitafsirie hii makitu ya kwenye verossa.

Au waeza nitafsiria kwenye PM?
 
Last edited by a moderator:
Mhmm huu mchezo ni mbaya naona sitaki kuucheza maana hapa naona zauso mimi nitaendeaga kunya zapa>>>nzaz cacico atanitafutia!!ila wewe bazazi Asprin unajua makitu hii halafu hunitonyi nimesikia hata dabokibini yako inahusika!!CC watu8, Madame B
 
Hommie, eti umeniita hapa? Nina swaum tafazal....au tufungulie kidogo...

CC mwalimu snowhite
 
Last edited by a moderator:
mume wangu! nimekomaaaaaaa kujichanganya na watoto wadogo! anakupa za uso mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeee! njoo mume wangu nikupe nishavua ujue!
 
Mhmm huu mchezo ni mbaya naona sitaki kuucheza maana hapa naona zauso mimi nitaendeaga kunya zapa>>>nzaz cacico atanitafutia!!ila wewe bazazi Asprin unajua makitu hii halafu hunitonyi nimesikia hata dabokibini yako inahusika!!CC watu8, Madame B
hebu tukutananeni leo tupo hapa! kwa muhtasari a hii madiskasheni! copy Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Hahaha hilo lakukupiemumo hebu omba kibali kwa mke wa ujana wangu cacico. Ana wivu na kukaba kama mke wa Obama.

Umenionea wapi homuboi wangu Kaizer? Nataka aje anitafsirie hii makitu ya kwenye verossa.

Au waeza nitafsiria kwenye PM?
hubby! mimi na we tuna nini naye?? mbona saa yetu haijawadia ya kutiwa mikononi mwao??
 
we nawe mpana! utaseba pazia la leba! hebu kaa pembe kwanza, zamu yako ikifika utakuwa huna mpambe ujue!
 
***VEROSSA***

Inside a Verossa he took off her clothes and wit them her dreams
There we lost
an MD, a sister and a fine Mrs. Me.

Cc: Nivea, cacico, Asprin, Kaizer, KakaKiiza, amu Paloma snowhite na wote ambao hamkunisoma vyema

YAH: Rejea maneno in BOLD ITALICS UNDERLINED RED

Lift alipewa yeye, kupanda alipanda yeye, uroda alipewa yeye
kwanini kele nipige mie?

kwa sababu...

kutongoza nilitongoza mie, kukubaliwa nilikubaliwa mie, kusaidiwa kazi nikasaidiwa mie
Kwa nini nisipige kelele?

Sasa jiulizeni kwanini...

thread nianzishe mie, tena yanihusu mie, kutoa onyo kwenu nyie
kelele mzipige nyie?

Inahuu...
 
Last edited by a moderator:
mke mwenza muite FP tukafagiepo kidogo kaburi la wetu mume! kabla hatujawekwa front page!

ahahahahahha na hizi dalili zinazoendelea hapa!
walahi mi ngoja nikatoe nuksi kwa Da wangu!
uuuuuuuwih!
ngammis mimi alikuwa hata akituchanganya wala hatugombani mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…