Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hahaha yani me hata kama huwa nipo barabarani, utasikia tu limsonyo langu. Upuuzi mtupuYaani hiyo kauli inanikerega natamanigi nikimsikia mtu anaisema nimtie boonge la singi, dady yako kanisumbua balaa.
Hivi una habari kipindi kile amepotea alikokuwa? Utachoka mwili na maini, kwakweli nastahili tuzo.
Dota acha tu mengine hayasemeki, ngoja tu nigugumie mwenyewe na nionekane mie ndio mbaya. Si unajua wenzetu hawakoseagi.Hahaha yani me hata kama huwa nipo barabarani, utasikia tu limsonyo langu. Upuuzi mtupu
Weee alikuwa wapi?
Haha wao ni malaika alwaysDota acha tu mengine hayasemeki, ngoja tu nigugumie mwenyewe na nionekane mie ndio mbaya. Si unajua wenzetu hawakoseagi.
Sisi wasaka tonge tu mkuu mentor!Am just asking: Benny na RRONDO ni ndugu?
maana si kwa kuchanganya madesa huku...
Am not tagging any one...
Honey Faith, Heaven Sent, atoto, Madame B.
Mume kutoka kwa BWANA!Hizo sifa za mume wangu mbona unazijua kiundani hivyo?
Na kwako pia mkwe wangu.Mkwe uwe na siku njema leo
yenye baraka tele za BWANA!
Dota wako yupi tena bhana?! Kwani mtoto wa mjomba na shangazi wa sweetboy wako ndo anaitwa dota wako; au?!Hayo majina ya kiinglish hapo ndio umemuita dota wangu?
We mtoto hapa ndo unanishindaga... kule kuna dota, huku kuna dady yake dota... aaaaaaargh! Hoyaa, Mentor, huyu mtu wako keshanishinda sasa bora niondoke zangu nikaishi kwa shangazi!Yaani hiyo kauli inanikerega natamanigi nikimsikia mtu anaisema nimtie boonge la singi, dady yako kanisumbua balaa.
Hivi una habari kipindi kile amepotea alikokuwa? Utachoka mwili na maini, kwakweli nastahili tuzo.
Duuu ulivyonikoroga hapa hata sijaelewa tena, dota wangu HSDota wako yupi tena bhana?! Kwani mtoto wa mjomba na shangazi wa sweetboy wako ndo anaitwa dota wako; au?!
Aah rafiki positive ipo mbona, wewe tena mwalimu wangu.Hivi unafikiri nilitegemea any positive kutoka kwako?!
Ndo n'shaelewa sasa... miaka yote mi najuwa we ndo my sweet honey wangu na Heaven Sent ni mtoto wa uncle kv uliniambia dady ake ni uncle angu kwahiyo ni binamu yangu, kumbe uliyenidanganya uncle angu ndo han yako mwenyewe, aaaargh! Nishachoka!Hahaaa!! Sasa ambacho haujaelewa hapo ni nini?
Mbona unaguna tena mpendwa katika Bwana!!Mh...
Jamani jamani, mbona unanisingizia mambo mazito hivi?Ndo n'shaelewa sasa... miaka yote mi najuwa we ndo my sweet honey wangu na Heaven Sent ni mtoto wa uncle kv uliniambia dady ake ni uncle angu kwahiyo ni binamu yangu, kumbe uliyenidanganya uncle angu ndo han yako mwenyewe, aaaargh! Nishachoka!
Kuwa nae makini huyo, analeta mambo ya tukose wote.Foleni gani jamani?mbona unaanza kunisingizia asubuhi yote hii??
Hahahaaa chezea manyau nyau!Kuwa nae makini huyo, analeta mambo ya tukose wote.
Nothing in particular.Mbona unaguna tena mpendwa katika Bwana!!