Verossa

Napita....hebu nielekezeni hoja mchanganyiko ni wapi?
 

We mrembo upo? . . . . . . Long time not see ya!!
 
Shem nini VEROSSA....... Huku kijijini nilipo sasa maduu wakikuona na kabodaboda unabeba kiulaiiiini yaani wanaona kama unamiliki ndege vile... Yaani aibu aibu natamani niwaelimishe ila naogopa msuto na mi ni mgeni huku.
 
Bidada mbona hivyo kosa langu nini?? Bi Suu ila pole kwa kukalili mimi sinatena CELICA uliza kingine na Multiple ID yako sasa sijui utasema nini nina miliki Gari ya hela mingi tomboka kama naweza baelesee Kipaji Halisi amu,wasikutishe mimi niwako mahabuba! Smile Nivea nipo ulinzi mia!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor anajaribu kutujulisha kwamba magari yetu haya (Si Verossa tu) yana matumizi mengi. Kuna mengine yanatumika kama guest house kwa kufanya mambo ya ngono. Kuna lift zinatolewa na sugar mummies, kwa wavulana wadogo na kwa lift hizo hao wamama ndani ya Verossa wanawarubuni vijana wadogo, halikadhalika kwa ma-sugar daddy wanavyowarubuni wasichana wadogo kwa ahadi kemkem. Ni katika magari yetu humo humo zinatungwa mimba, yanazalishwa magonjwa mbalimbali ukiwemo ukimwi, frustration za maisha ikiwemo kufeli mitihani zinaanzia humo, kwa sababu wanafunzi wanasahau kusoma badala yake wanakwenda kujirusha kutumia magari hayahaya. Kwa ujumla Mentor ametukumbusha mengi yanayofanyika kwenye magari yetu likiwemo gari la Verossa. Please, observe matumizi ya gari yako.
 


Bi Suu,njoo usaini mkataba,mi ni promota wa ngumi, magna Amu yupo onfire halafu huonekani hata kwenye keyboard!!!!![/QUOTE]

Unamaanisha yupo katika hit?
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza unamiliki hii makitu kweli wewe tagiri
 
Last edited by a moderator:

hahahahaha umetisha....very funny indeed
 
Ninyi wadada wa JF nini mbaya....!!
tulia mkaka kuna waliokuja mjini na chupi,skentait undersket na sketi na wengine wakaingia mujini na chupi tu na sketi yake huwezi wafananisha watu hawa kwiwkiwkwiwkwiwkwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…