Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Wewe hapo ndio chanzo kikubwaMie sio chanzo bwana, si umesema Kaizer ndio alisababisha?
Mhhhh!!!!wote nyie wale waleRogie njoo uone ninavyosingiziwa huku!!
Somo ukilichukia huwezi kuliweza, halikadhalika mwalimu ukimchukia na somo lake unalichukia pia, so ndio ujue ni namna gani upendo una nguvu, 'upendo hushinda yote'.
Ukawa kipanga eeh!! Ila ulikuwa unashiba si ndio?Ni kweli asee, yaani nilivyoanza kulipenda ndo nikawa naliweza mpaka nikawa kipanga eti..
Ukawa kipanga eeh!! Ila ulikuwa unashiba si ndio?
Basi uwe unashiba kabla ya kazi zingine pia.Hahahah!, yea atoto, nilimake sure nashiba vizuri kabla ya kwenda darasani...lol
Mie sio mchokozi hata kidogo.
siku hizi huyu mdudu anayejiita TCRA hapendi hata hadithi au ushuhuda hahahhahhaa
ngasyaghana nasimo....ikisungu.
We unajua kabisaaa kwani kwako nakuwa mchochezi, ulinidanganya nikasubiri tangazo mpaka nikachoka.we mchochezi sana usione nimependwa unaanza kuniita chaki!!! Hujui chaki nayo ni muhimu...kuanzia Nyerere mpaka wewe chaki ndo imewafanya kuwa mlivyo..!!!
Nenda kamchangamkie mwalimu mwenzako Madame B alikuambia jana!
We unajua kabisaaa kwani kwako nakuwa mchochezi, ulinidanganya nikasubiri tangazo mpaka nikachoka.
Hiyo ya mwalimu mwenzangu ni yupi nikaichangamkie fasta?
Nipo wanguNimekumissss sijui umefichwa wapi wewe!???