Hahaaaaa!!! Ndo ashaambiwa yeye ndio chaki yake.Sio kwamba nakuonea wivu umeoa, au namuonea wivu huyo 'mkeo mtarajiwa', la hasha!!!
Wapo wengi walioahidiwa kuolewa na huyo 'mkeo' na wakaangukia pua.
Ila kaa ukijua 'mkeo' huyo anapenda sana pesa, ukiwa huna pesa, utachezea vitasa tu.
Kuna mwenzio 'mtaa wa pili' hajapona alama za vidole mashavuni mpaka leo.
Haya, we okota tu dodo lako chini ya mfenesi.
Afu ukumbuke na ukubali mitara kwa huyo partner wa wizarabya elimu.
....sio wivu, usije sema sijakwambia.
Evelyn Salt mie sikuonei donge ujue.
Hahahahhaha.....Verossa na Celica
Ahsanta kwa taarifa.Basi na ijulikane kuanzia sasa..
Afande Mentor
na
Mwalimu Evelyn Salt
Ni ntu na ntuwe!
Nimefunga zoezi la kutafuta mwalimu!
Cc; RRONDO, babu Asprin, mwalimu mkuu snowhite, mwalimu wa nidhamu Madame B, mshenga KakaKiiza
Ndugu jamaa na marafiki...popote pale walipo!!!
ewaaa..si unaona! Kumbe wala sio gumu ni mentality yako ilikufanya ulione gumu (huenda shule ulikutana na wenzako waliosema huo ni ugonjwa wa taifa, wakakuambukiza).
Na ninaamini wanao watakuwa better students maana hutawaambukiza ugonjwa huo.
Mie nimekolezea tu fasihi yako jamani, huyu shemeji we mtumie tu maana ndio chaki yako, ukimaliza futa ubao chukua chaki nyingine.😀😀😀😀😀
Haya sio maneno ya kumwambia shemeji ako asee, umenikwaza mnooo kiasi kwamba nakuona kamatia mwanafunzi wa Mbeya Day
Hivi kuna mwalimu alijitolea? Wapi huko nitoke baru nimfuate kabla hajabadili mawazo.Hivi yule mwalimu aliyejitolea kukuoa na wewe, mahaba yenu yameishia wapi?
We piga teke fuko la pesa.
😀😀😀😀😀Wewe ndiwe lindo langu, daima nitakulinda
nakupenda kuliko posho yangu
wewe ndiwe staff shoes zangu, sihitaji kiwi wang'aa kama jua
infact, pendo lako latosha kung'arisha viatu vyangu.
Mapenzi yakiwa mapya bwanaWewe ndiwe lindo langu, daima nitakulinda
nakupenda kuliko posho yangu
wewe ndiwe staff shoes zangu, sihitaji kiwi wang'aa kama jua
infact, pendo lako latosha kung'arisha viatu vyangu.
Hahaaaaa!! Yaani pamoja na dozi ila bar kama kawa, angalau uwepo tu karibu.Nina dozi moja takatifu sana, naenda bar kupiga story tu.
Nina ashuo sana mie ikifika weekend
Mentor mpenzi mie ni mti wenye matunda usitie shaka kuona nashambuliwa, naomba uniweke kwenye MAHABUSU YA MOYO WAKO TU panatosha
Madame B wewe Kipaji Halisi si na mahari alitaka kutoa ukakimbia!?? Kweli hata mimi sijui unataka nini!
Hahahah Unakumbuka ule mfano wa jamaa aliyewagaia wanawake wake watatu 500,000/- halafu akawapima wataifanyia nini mwishowe akaja kumuoa mwenye chura...ni sawa na wewe, nahisi huwa unaangaliaga mandingo ndo kigezo chako, and the more you look the more you keep looking!
Ila kama ukiacha kuchagua chagua... RRONDO atakufaa sana!
Hahaha usitake kunigombanisha na watu bana. Kuna mtu aliniambia, "Ujue wewe dogo umefanya mpaka nikauza celica yangu!" Dah....
Huyu ndo scorpion wangu, mwingine sioniMie nimekolezea tu fasihi yako jamani, huyu shemeji we mtumie tu maana ndio chaki yako, ukimaliza futa ubao chukua chaki nyingine.
Wacha we!!Huyu ndo scorpion wangu, mwingine sioni
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haNaam nami naomba unipende kama mwanafunzi yule mtiifu
wewe ndo mwalimu mkuu wa moyo wangu!
collabo yangu na wewe lazima wanafunzi wanyoke;
siku nikiwa off nakuazima swagger cane yangu na kirungu..
[HASHTAG]#perfectCOMBO[/HASHTAG]
Naridhika hata kwa mbilimbi usinisemee aseeHahahahahha....jamani Celica yangu, ndo kitanda changu na ndo my everything.
Hahahaha Kipaji Halisi yupo tu?
Nimemmiss sana mwambie.
Unajua mwanafunzi wangu wewe nikueleze kitu, mwanamke anataka mandingo, pesa ni nyongeza tu.
Hata uwe na pesa gunia, kama huna 'kufaa madhubuti', utasaidiwa tu na wenzio.
Hahahahahha....jamani Celica yangu, ndo kitanda changu na ndo my everything.
Hahahaha Kipaji Halisi yupo tu?
Nimemmiss sana mwambie.
Unajua mwanafunzi wangu wewe nikueleze kitu, mwanamke anataka mandingo, pesa ni nyongeza tu.
Hata uwe na pesa gunia, kama huna 'kufaa madhubuti', utasaidiwa tu na wenzio.
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEREEEEE!!!!!!Basi na ijulikane kuanzia sasa..
Afande Mentor
na
Mwalimu Evelyn Salt
Ni ntu na ntuwe!
Nimefunga zoezi la kutafuta mwalimu!
Cc; RRONDO, babu Asprin, mwalimu mkuu snowhite, mwalimu wa nidhamu Madame B, mshenga KakaKiiza
Ndugu jamaa na marafiki...popote pale walipo!!!
ewaaa..si unaona! Kumbe wala sio gumu ni mentality yako ilikufanya ulione gumu (huenda shule ulikutana na wenzako waliosema huo ni ugonjwa wa taifa, wakakuambukiza).
Na ninaamini wanao watakuwa better students maana hutawaambukiza ugonjwa huo.