Verossa

sabal kheri Mentor! ukimuona mume wangu Asprin msalimie sana!
Lakheri mke wa ujana wangu.... nakumisije?? Kesho usiponibeep ili nikupigie ntakutwanga talaka saba.......:help:

#Celica nimeinywa bia maana naona nachafuka bila sababu za msingi maana hata lidabo kibini nalenyewe lipo katika ndoo ya maji machafu! Asprin chukua hiyo
Hahahahaha nimecheka kwa sauti... muda si mrfu hata mtreni wa Mwakyembe nao utaingia kwenye kashfa wallah!!:ban:
 


Sijui kwanini hili shairi kial nilkilisoma nahisi kulia, sijui ni kwanini I am not feeling quilty but kuna kitu kina ni pain in me so much, sijui ni kwanini, nimelisoma not once not twice bado nikilisoma tena natetemeka kwa woga!!! Inside Verossa!!!!!
 

Tell us mkuu...ni nini kilitokea!?? And was it a verossa ama volkswagen!??
 
hahahahhaaaa subiri kwanza Mkuu japo ipite miaka kadhaa ndio pengine naweza sema, mmhhh Verossa hili shairi kali sana sana
Tell us mkuu...ni nini kilitokea!?? And was it a verossa ama volkswagen!??
 
hahahahhaaaa subiri kwanza Mkuu japo ipite miaka kadhaa ndio pengine naweza sema, mmhhh Verossa hili shairi kali sana sana

Am humbled anyway though the moderators never thought so...!!!
 
Inside verosa alii cock na kuililia pistol ya dully

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Jamani jamani Heaven on earth, ya nini kuwafufua wafu waliokwisha lala?

Hii sredi ishaniletea visa vingi mpaka kuchukiwa ww unataka kuifufua...una nini nami Heaven on earth!??

Cc: Asprin:help:

kwa hali ilivokuwa hum lazima tu uchukiwe Mentor........

umesema ukweli mtupu tena ulio mchungu....nimecheka..nimehuzunika

yaani hii Verosa acha tu...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…