Verossa vs Brevis

Verossa vs Brevis

Mnuka kwapa mwenzangu upoo leo naona umejikojolea kabisaa na hayo majina yenu yanapenda taarabu kwelii ndio maana nakuchukulia poaa, ,punguza kujikojelea weweee kubwa zima kikojozii teh teh

Teh teh teh sawa nakusoma bibie 😆
 
Mkuu kwa upande wa mafuta Verossa zipo za CC 2000-2500 lakini Brevis naona nyingi ni cc 2500 -3000 upande wa comfort zote ziko sawa tu.

Brevis ni jini. Zote ni engine kubwa yaani cc above2500. Kwa matumizi ya mjini haina maana yoyote. Kwanza ni gari ambayo iko chini kwa maana sawa tu na GX100,110 za kawaida nje ya Verossa nk. Kama kigezo ni mbio sawa. Lakini kwa mjini mbio za kuelekea wapi? Kama ni mtu wa trip za mara kwa mara chukua hiyo, kwa maana kama unapenda ligi barabara kuu, huwez kuonewa. Naamini Brevis ni more modern than Verossa lakin siyo economical. Watu wengi hununua gari zenye cc kubwa hasa kama tu liko juu angalau kukwepa kugusa chini.

Sasa gari CC ni kubwa sawa na gari kubwa lakini liko chini, haina maana sana. Uumie ukubwa wa Engine kwa gari kuwa juu, kuwa na 4WD. Lakini gari engine kubwa lakini zinagusa chini, tuta unalilia timing kama vile ni ti, si, premio, baby walker aka IST, na mengine madogo inakuwa haina maana sana.
 
Hizo zote ni gari moja tu hayo ni majina tu ya ubatizo na muundo wa bodi tu hakuna jipya.

Mimi nasubidili mwaka 2030 Toyota watatoa gari ambazo kwenye foleni zitakuwa zinapaa kama ndege. Hili ndio jipya.

Nakwenye pakini zinapaki zenyewe na trafiki hawezi simamisha
 
Kwa mtazamo wang hakna kagar kadog wal za wanawke czs kna wat hawawez ta kumilik pik pik boxer afu vitz au duet ana ita kagar kadogo afu et akapend wakat hawez ku affrd..kna wat wanamlk range na mengne yenye cc kubwa mpka 4700 n uwez wao,so kubwa angalia uwez wak na aina ya matumz,zipo gar fr mitoko na znngne fr pilika cz zipo vry economy..

umemaliza.
wengine hata monthly gross income ya 300,000 hawana kula kulala kuponda vitz(kimoyomoyo ndo dream car yake)
 
Brevis more comfortable, more power, more speed! Ni kama Benz fulani hivi with a good look.
 
Yaah@amu,la kam mtu unatak gar kua makin sanaaa ten sanaa waeza otea mpunga ghfla ukaw na uwez wa kmlk ta ka bmw flan au brevis(jini mahaba),afu huna.mwendlezo wa income ukwa una gongea hela ya wese kwa wanna,take care at great extent..
 
Wataalam wa magari,naomba kujua kati ya gari hizo ipi nzuri kwenye utumiaji wa mafuta,comfortability barabarani nk. Nazipenda zote ila nafikiria kununua moja wapo. Ushauri wenu utasababisha nifanye uamuzi mzuri.

Kaka brevis mwisho wa matatizo hata ulaji wa mafuta ni kama verosa tu ingawa ni cc kubwa kdogo alafu kuhusu mwendo ndo balaa comfort usiseme ndani kama ndege kudadadeki alafu option za kisasa na ina nafasi ndani kuliko verosa mi nimeagiza ya kwangu yaja verosa ishapitwa na wakati hata kuuza shida hazina thaman kabisa mi nilikua nayo imenisumbua kuuza na nilitumia mwaka 1 na niliitunza lkn nimeuza chin ya bei wanaaliita kigodoro cku hz.
 
Brevis ni jini. Zote ni engine kubwa yaani cc above2500. Kwa matumizi ya mjini haina maana yoyote. Kwanza ni gari ambayo iko chini kwa maana sawa tu na GX100,110 za kawaida nje ya Verossa nk. Kama kigezo ni mbio sawa. Lakini kwa mjini mbio za kuelekea wapi? Kama ni mtu wa trip za mara kwa mara chukua hiyo, kwa maana kama unapenda ligi barabara kuu, huwez kuonewa. Naamini Brevis ni more modern than Verossa lakin siyo economical. Watu wengi hununua gari zenye cc kubwa hasa kama tu liko juu angalau kukwepa kugusa chini.

Sasa gari CC ni kubwa sawa na gari kubwa lakini liko chini, haina maana sana. Uumie ukubwa wa Engine kwa gari kuwa juu, kuwa na 4WD. Lakini gari engine kubwa lakini zinagusa chini, tuta unalilia timing kama vile ni ti, si, premio, baby walker aka IST, na mengine madogo inakuwa haina maana sana.
Kama Ni mara yake ya kwanza hatojua tofauti ya 4wd,nyingi huwa juu na anaweza Pata kuanzia cami,Prado na kuendelea kama Ni mpenzi wa Toyota.gari za chini mkiona Shimo tu unajiwazia sijui nipite vipi?

Muhusika ametuuliza kwenye hayo magari mawili basi ni heri brevis akija lichoka laweza uzika japo nalo ni oilcom tu kama verusa.
 
Watanzania wengi tunakosea sana kwenye decision muhimu katika maisha ikiwepo kuchagua aina ya gari inayoendana na hali ya uchumi wa wakati huo. Kwenye ununuzi wa magari (hasa gari la kwanza) wengi wameongozwa na ulimbukeni na gari likawa mzigo kuanzia mafuta hadi spea.
 
Mkuu, Inaweza ikawa gari yako ya kwanza lakini usiwe uchumi wako wa kwanza!!
 
Mkuu, Inaweza ikawa gari yako ya kwanza lakini usiwe uchumi wako wa kwanza!!
Mkuu nakubalina nawe kuwa watu wa namna hiyo wapo lakini kwa generation hii ya leo zaidi ya 80% ya wenye usafiri wamenunua wakiwa hawajasimama vizuri kiuchumi. Mtu akipata kikazi ndani ya miaka 3 kavuta mkoko.
In fact, wengi tunazichanga hela zenyewe za kununua kigari toka kwenye mikopo.
 
verossa gx110.....cc2000 tu, kuna verossa jzx110 cc 2500....kwa gx110 engine verossa sio mbaya sana ni nzuri
ukija kwenye brevis ni cc2500-3000 hivyo ulaji wa mafuta ni juu kidogo ya verossa

kwahio kama unaangalia ulaji wa mafuta chukua verossa yenye engine gx110
Asante kwa kumpa msaada mleta uzi, matahira yamebaki kubishana tuu.
 
Mkuu nakubalina nawe kuwa watu wa namna hiyo wapo lakini kwa generation hii ya leo zaidi ya 80% ya wenye usafiri wamenunua wakiwa hawajasimama vizuri kiuchumi. Mtu akipata kikazi ndani ya miaka 3 kavuta mkoko.
In fact, wengi tunazichanga hela zenyewe za kununua kigari toka kwenye mikopo.
Naunga mkono hoja mkuu.
Nimeshuhudia vijana wengi mtaani wakitoka tu chuo na kupata ajira breki ya kwanza mkopo wa usafiri, nyumba ya kupanga kupaki kwa Ofisi ya CCM au jirani mwenye nafasi kubwa. Bila kufahamu gari ni zaidi ya mke halijui kufanya maarifa ya kutumia buku kwa siku kama mke.
Mbaya zaidi ndiyo umechukua mkopo mkubwa ili ununue gari la kifahari kimshahara nacho kila mwezi kinakatwa chote huku mashine nayo inahitaji mafuta na service bila huruma.
 
Hivi kuna gari ambalo linakunywa supu....nashauri katika kununua gari mafuta ondoa....coz hakuna gari ambalo halitumiii mafuta bongo.
 
Back
Top Bottom