Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,050
- 1,469
Hizo zote ni gari moja tu hayo ni majina tu ya ubatizo na muundo wa bodi tu hakuna jipya.
Mimi nasubidili mwaka 2030 Toyota watatoa gari ambazo kwenye foleni zitakuwa zinapaa kama ndege. Hili ndio jipya.
Hahahah kweli. Ulevi ule ule imebadilika chupa tu.