Verossa vs Brevis

Verossa vs Brevis

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,719
Wataalam wa magari,naomba kujua kati ya gari hizo ipi nzuri kwenye utumiaji wa mafuta,comfortability barabarani nk. Nazipenda zote ila nafikiria kununua moja wapo. Ushauri wenu utasababisha nifanye uamuzi mzuri.
 
Hizo zote ni gari moja tu hayo ni majina tu ya ubatizo na muundo wa bodi tu hakuna jipya.

Mimi nasubidili mwaka 2030 Toyota watatoa gari ambazo kwenye foleni zitakuwa zinapaa kama ndege. Hili ndio jipya.
 
Mkuu kwa upande wa mafuta Verossa zipo za CC 2000-2500 lakini Brevis naona nyingi ni cc 2500 -3000 upande wa comfort zote ziko sawa tu.
 
Inabidi anunue korando ndio gari ya kiume.....

Yote ni magari ya wanawake....
Labda jina "Brevis" linaweza kukusitiri kama wewe ni kidume.

Mleta uzi linganisha cc ya verossa na brevis? Maana ndizo zitakazokuwezesha kuhimili mafuta kutokana na unapoishi hadi unapotafuta riziki na misele mingine....
 
Yote ni magari ya wanawake....
Labda jina "Brevis" linaweza kukusitiri kama wewe ni kidume.

TANMO acha ukolofi bhana magari ya wanawake gani na VITS ni za nani sasa
 
Brevis ina mziki mzuri an bt fuel consumption verossa INA nafuu
 
Hizo zote ni gari moja tu hayo ni majina tu ya ubatizo na muundo wa bodi tu hakuna jipya.

Mimi nasubidili mwaka 2030 Toyota watatoa gari ambazo kwenye foleni zitakuwa zinapaa kama ndege. Hili ndio jipya.

Hhhhaaaaa hiyo kalii,mi nashangaa watu hushoboka na majina ya magari mi gari lenye sura nzuri ndio napenda kama Harrier,BMW sijui, zile vX maana kila siku magari yanatoka majina mapyaa tu kama simu
 
Hivi wewe wa wapi? Ununuwe gari kwa kigezo cha music wakati car accesories zipo kibao mjini na radio waweza badili ukaweka uitakayo.

Original ni original mkuu, mi wa hapa hapa bwana
 
Back
Top Bottom