emanuel kiduvilo
Senior Member
- Aug 5, 2014
- 165
- 20
Toyota verossa, mwaka 2001, purple, km be 100,000 , cc 2000 kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 biashar ni maelewano pics chin hapo
Toyota verossa, mwaka 2001, purple, km be 100,000 , cc 2000 kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 biashar ni maelewano pics chin hapo
Maelewano hua yanaanzia kiasi fulani... hebu anzisha.....
kwa hesabu za chap chap nadhani atakuwa anauza bei kuanzia 10mil hapo akiwa ameweka kafaida chake kidogo. Ukiagiza toka Japan (Beforward) inakuwa hivi.Weka bei
Kitu cha mwaka 2001 ni kipya???????Toyota verossa, mwaka 2001, purple, km be 100,000 , cc 2000 kwa mawasiliano tumia hz no 0768359292 na 0652359291 biashar ni maelewano pics chin hapo
kwa hesabu za chap chap nadhani atakuwa anauza bei kuanzia 10mil hapo akiwa ameweka kafaida chake kidogo. Ukiagiza toka Japan (Beforward) inakuwa hivi.
CIF (DAR) = $2380 ~ 4,130,000/=Tsh. (1$/1700Tsh) + TT Cost
TRA Duty ~ 4,800,000/=
Shipping Line, Port Charge, Clearance Fee, Motor Vehicle, Plate Number,etc ~ 1,200,000/=
~ Total = 9,930,000/=Tsh
![]()
![]()
mwenye thread atusamehe bure tu kwa kujadili gari zingine ndani ya thread yake..Nimeagza nissan caravan ya mwaka 1996 toka japan dola 5500 tra hapa watataka pesa ngap mpk kuitoa