Yaani tunaanza kutawaliwa kijinga sana🤣🤣, huko mbeleni sijui itakuajeHii kitu inashangaza, inachekesha na inaudhi pia! Yani imefika mahali vinyago tulivyovichonga wenyewe vinatu command😂
Eti robot linakuambia usithitishe kama wewe sio robot😂
Na hatuna namna inabidi kutii ili kupata huduma! 😂 ama kweli sisi ni mazuzu🤬Yaani tunaanza kutawaliwa kijinga sana🤣🤣, huko mbeleni sijui itakuaje
Asante kwa maelezo, Je ina maana hizo Boys haziwezi kujibu hizo Captcha, au haziwezi kujibu hilo swali?ili kuhakikisha anayetumia website ni mtu halisi na sio bot
Bots huwa zinatumika kufanya spam, kujaribu ku-hack akaunti, au kujaza fomu mara nyingi sana. Hiyo verification (kama kuchagua picha au kuandika herufi) inasaidia kuzuia mambo hayo na kulinda website pamoja na watumiaji wake.
Mfano ukiingia kwenye darkweb kuna huduma ya email bomber ili kumsaidi carder/loader kufanya KAZI yake vizuri bila muhusika wa account kuona notification
Email bomber(email spammer) unatumia outomated bots scripts kutumia target email kufanya registration kwenye sites mfano discord na zingine kwahiyo ili kuzui bot wanaweka verification captcha
Nb.for educational purposes
Kwahio robot au software haziwezi kujibu hilo swali?Robot si kwa maana ya machine, huko mitandani kuna software nyingi unapoingiza taarifa zako zenyewe inazikusanya kwa siri bila wewe kufahamu na baadae wanazitumia kufanya hacking.
Ndio maana kuna kipengele cha “2fa” pia
Majingest kabisa haya marobot.. Hayajui hata typing error kama googleNa huwezi kuamini hivyo vimitihani vya kuchagua picha sijui traffic light au bus usipokua makini unafeli unaletewa tena zingine mpaka ufaulu eti🤣🤣🤣
Zikijaribu kujibu maswali zinagundukika na website husika Kwa sababu zitajibu haraka Sana na Kwa spidi inayofanana tofauti na binadamu anajibu Kwa kusita na spidi tofauti kutoka image moja Hadi nyingine. Pia ? Pia movement ya cursor anapotumia binadamu inakuwa haijanyoka lakini robot linanyosha kama rula, hapo ndio litagundulika kwamba huyu sio robot.Asante kwa maelezo, Je ina maana hizo Boys haziwezi kujibu hizo Captcha, au haziwezi kujibu hilo swali?
Vinakera hatariiii, kuna App km 2 hivi hiii week ya 3 nashindwa kufaulu huu mtihani wao.Na huwezi kuamini hivyo vimitihani vya kuchagua picha sijui traffic light au bus usipokua makini unafeli unaletewa tena zingine mpaka ufaulu eti🤣🤣🤣