zinatakiwa zije kwa sms
ikikataa watakupa option ya kukupigia simu
chief blackbery yangu imestuck ile touch sensor,natatuaje hapa chief?
na ukienda kwa fundi inatakiwa ubadili cover zima kama sjakosea.
Nenda tu kwa fundi maana hio ni hardware iasue
chief blackbery yangu imestuck ile touch sensor,natatuaje hapa chief?
jaman nime install whatsapp kwenye simu yangu., so kwenye ku-activate inaniambia ni put verify code, msaada ndo zp hzo verify code